Ubaguzi kwenye kazi.

Ubaguzi kwenye kazi.

Mkuu itakua kuna kitu kimejificha kati yenu jaribu kufatilia utagundua hilo...
Hata mimi nyumbani ni huko huko tena Pba lakini pia nipo kwenye serikali ya Magufuli na sijawahi kuambiwa mimi mvivu kubwa napata sifa ya kujichanganya na Wabongo bila kujibagua. Tena wananiamini sana kuliko hao wabongo wenzao kwenye masuala ya pesa.
Mkuu hakuna kitu kilichojificha mim nilikua mbele yao nikaskie wakiongea katika hawa wazanzibar hawawezi kazi na kilichofuata ni kuanza kutaftiwa sababu mbali mbali na sio mim pekee nilieondoshwa ni wengi tu katika department yetu.
 
Ubaguzi Zanzibar upo tu ebu tafuta nafasi za ajira zote za serikali wanataka Mtu awe mzanzibari nikigezo cha kupata kazi ,Angalia.nafasi za Ajira zote za serikali utaona hii issue
 
Ubaguzi Zanzibar upo tu ebu tafuta nafasi za ajira zote za serikali wanataka Mtu awe mzanzibari nikigezo cha kupata kazi ,Angalia.nafasi za Ajira zote za serikali utaona hii issue
Ubaguzi bado upo katika kazi.
 
Mkuu hakuna kitu kilichojificha mim nilikua mbele yao nikaskie wakiongea katika hawa wazanzibar hawawezi kazi na kilichofuata ni kuanza kutaftiwa sababu mbali mbali na sio mim pekee nilieondoshwa ni wengi tu katika department yetu.
Ok,.. Lakini kama kweli unataka kazi jaribu kujiunga jku mbona ajira zitatoka sana hususan kipindi hiki tunachoenda nacho.
 
Write your reply...kwani hapo unapofanyia kazi lazima wakujue kiundani? lazima wajue kabila lako ?
 
Back
Top Bottom