Ubaguzi kwenye usaili Dodoma standard gauge

Marathon day

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
643
Reaction score
1,016
Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu.

Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni huu unyanyasaji wa hali ya juu.
 
Kwahiyo kila aliefika na kughalamia apate hata Kama wanaotakiwa ni wachache? Acha hasira chukulia ni sehemu ya matokeo katika usaili kuna kupata na kukosa.
 
usiwe na gubu, kubali umeshindwa maisha yaendelee
usiwe kama yale ma JKT yaliyoandamana
 
Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu.

Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni huu unyanyasaji wa hali ya juu.
Reli ya Kanda maalum (staafu). Sema wazenji mpo nyoronyoro sana
 
Usaili mradi wa reli ya mwndo kasi ni shida, wanaofanya usaili na wako vizuri wanaondolewa na wanaingizwa wenye pesa na wanojulikana tu.

Bila kujali mtu amekaa hapo zaidi ya wiki ametoka mbali ngarama zote mpaka vipimo juu yako halafu mtu anaambiwa amefeli arudi nyumbani, Serikali ingilieni huu unyanyasaji wa hali ya juu.
posti ipi SGR
 
Hizi nafasi zimetangazwa wapi mkuu na lini? Pole ila mpaka uitwe kwenye interview si tayari ulishajua kuna kupata na kukosa!
 
unaweza kutoa ushahidi juu ya hili?
 
Kwa

Mujibu wa mashuhuda ni pale unapoona mahindi anakuwa mshindwa, na mshindwa anakua mshindi hapo ndio utata unapoanzia. Ukiona panapofuka Moshi tambua kunaashiria moto ndani yake.
 
unaweza kutoa ushahidi juu ya hili?
Hapo sikutishana babuu! Uhuru wa kuongea uzingatiwe, cha muhimu fanya uchunguzi, na kuwe na fair kwenye usaili, hasa anaefanya usailia asiwe mtu mmoja, wawe team na isiwe mtu wa kutoka ndani ya taasisi, kunagharama hani kurudia na kuwe na team iliyo fair pande zote!! Huu ni ushauri wangu tuu, siingilii maamuzi ya Taasisi!!
 
acha uoga, kama una ushahidi ukienda Takukuru mtego unawekwa wanarukiwa chaap.
 
Kwahiyo kila aliefika na kughalamia apate hata Kama wanaotakiwa ni wachache? Acha hasira chukulia ni sehemu ya matokeo katika usaili kuna kupata na kukosa.
Nimemwambia kwa mujibu wa mtoa taarifa , "Unafanyiwa test na mtu mmoja tu Tena anatoka ndani ya Taasisi, hapo kama ameamka vibaya matokeo yanakuaje? Inapokuwa team, Tena iwe nje ya Taasisi inaleta Fair kwa watahiniwa.
 
Kwahiyo kila aliefika na kughalamia apate hata Kama wanaotakiwa ni wachache? Acha hasira chukulia ni sehemu ya matokeo katika usaili kuna kupata na kukosa.
Kaka hayajakukuta, ndani ya 18 unachezewa rafu ya wazi kabisa na huna la kufanya? Hakuna asiejua kwenye usaili kuna kupata na kukosa, ila rafu ya wazi na huna pa kuiongelea!! Tumwachie Mungu.
 
Back
Top Bottom