Ubaguzi: Machotara Hizbu, Zanzibar ni nchi ya Waafrika

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
DSC_2469.jpg

Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.

DSC_2827.jpg

Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.

Akili yangu inanikatalia kabisa.

Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.

CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?

Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?

Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.

Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.

Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?

Machotara?

Nani huyu chotara?

Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!

Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?

CCM imefilisika kiasi hiki?

Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?

Nini khasa tafsiri ya mambo haya?

Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.

Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...

Hawa wanapanda jahazi la ugozi.
 
Last edited:
Hao viongozi wahafidhina ndani ya CCM inaelekea wamechoshwa na maisha ya 'uraiani' huku barani Afrika na hivi sasa wanatamani maisha ya kwenda 'jela' kule uzunguni ambako watarundikwa huko baada ya Bensouda kukamilisha kuwatia 'hatiani' kwa uhalifu wao huo kwenye mahakama yake pale The Hague Uholanzi.
 
Kama ambavyo aliwahi kusema Mwalimu Nyerere kuwa Kaburu ni Kaburu tu.
Akiwa na maana kuwa kitendo chochote kinachofanywa cha kibaguzi hata kama kitafanywa na mwafrika basi haina budi kumwita mwafrika huyo kuwa ni Kaburu.
Itakuwa kosa kubwa kwa watanzania kama wataamua kufumbia macho vitendo vya hatari sana vya aina hiyo ya ubaguzi vinavyofanyika huko Zanzibar.
Katika nchi inayozingatia utawala bora, vijana hao ambao kupitia ujumbe wao kwenye mabango yao wanachochea chuki ndani ya wazanzibari na hivyo kuleta uwezekano wa kusababisha machafuko nchini.
Kwa hiyo mahali pekee kwa hao walioyaandaa mabango hayo wangestahili kuwepo muda huu ni kuswekwa jela.
 
DSC_2469.jpg

Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita mbele ya mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]

Picha hiyo hapo juu ni bango la Kikaburu katika mwaka wa 2016 bango linalotukuza ubaguzi wa rangi.

DSC_2827.jpg

Sitaki kuamini kama Ali Mohamed Sheni na uongozi wa juu wa CCM Zanzibar wamewatuma vijana hawa kufanya haya.

Akili yangu inanikatalia kabisa.

Sitaki kuamini kuwa tumeanza kuwatengeza akina Hendrik Verwoerd na Eugene Terre Blanche weusi katika visiwa vya Zanzibar.

CCM Zanzibar inamuiga nani katika hili?

Hitler na Manazi walikuwa na vijana wao waliojulikana kama Stormtroopers ukipenda waite Brown Shirts?

Zanzibar tumeshawashuhudia Ton Ton Macout mfano wa wale wa Papa Doc wa Haiti visiwani wanajulikana kama Mazombie.

Sasa tumefungua ukurasa mwingine wa Adolf Eichman.

Hilo bango mbona litawagusa wengi katika safu ya uongozi wa siasa katika Zanzibar na wengine walipatapo hata kuiongoza nchi?

Machotara?

Nani huyu chotara?

Tumehama kwa Waarabu sasa tuko kwa Machotara!

Lakini huyo chotara si ana wajomba, babu, bibi na mama wakubwa na wadogo Waafrika?

CCM imefilisika kiasi hiki?

Nini hiki ni kiwewe cha CCM kushindwa uchaguzi au ni kitu gani?

Nini khasa tafsiri ya mambo haya?

Tusubiri In Sha Allah wakati utatupa jibu.

Kasema Mwalimu Nyerere karne ya ishirini na moja kuna watu wanapanda basi la ukabila...

Hawa wanapanda jahazi la ugozi.
Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.

Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"

Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.

Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.

Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.

HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
 
Last edited:
Kama machotara wanatengwa basi ni wakati mzuri wa kuwaoa na kuwaleta bara. Hawatakuwa na nyodo tena, twendeni tukaoe hao machotara.
Kwenye issue nyeti kama hii unaleta umbulula wako hapa !vipi machotara wa kiume waje kukuoa wewe au mama ako?
Maana tone ya maandishi yako inaonesha kuwa nawe una maoni kama ya hao wapumbavu wa ccm!Ni lini na wapi hao machotara wamekuletea nyodo?
 
Kila eneo kuna fursa zake, siwezi kuiacha hii fursa. Nyie toaneni macho kwenye siasa sisi tutaenda kuoa chotara, neema imefunguka. Sina sababu ya kujadili hizo chuki, nimeiona fursa.
 
MAGUFURI EBU FUTILIA MBALI UFIRAUNI WA VIONGOZI WA CCM MABAGACHORI USIWAANGALIE USONI WASHENZI SANA. Wataipeleka shimoni Zanzibar ubaguzi wa wazi unao endelea Zanzibar ni kaburi la wazanzibar linalochimbwa na ccm.
 
Mohammed Said usiwe mnafiki.
Wewe ni mmoja wa watu humu mtandaoni mlioendeleza ubaguzi, kwako ulikuwa wa kidini.

Mwalimu aliwaonya, na sasa utabiri wake unatimia.
Mwalimu alisema,
"Zanzibar ikianza kujibagua toka Bara hawatabaki salama maana slama ya Zanzibar ni umoja na Bara.
Wakiisha kuwabagua Bara watakuwa wamefanya dhambi kama wachawi wanaokuka nyama ya watu.
Ulila nyama ya mtu utaendelea kula nyama ya mtu.
Mwalimu aliendelea kuwa, baadaye Wazanzibari wataendeleza dhambi ile ile ya ubaguxi na kugundua kua Zanzibar kuna Wazanzibari na Wazanzibara, na kuna Wapemba na Waunguja, hawatabaki salama hata kidogo"

Leo Mohammed Said, ukiwa mtu mzima mwenye akili yako washangaa nini, umeuendekeza sana ubaguzi wa kidini na makala zako za kuwa sifia na kuwaenzi "wazazi wako waislamu" humu mtandaoni, kwamba ndo walileta uhuru.
Ulihusika moja kwa moja kupanda mbegu za chuki katika jamii.

Zanzibar walipoanza na sera za kujibagua, ili wapate kujitambulisha nani ni mzanzibari(kwa kuwabagua wabara) sikuwahi kuona makala zako za kuonya juu ya ubaguzi huu.
Wengi tulilaumu hili, lakini kwa vile wazanzibari kupitia Baraza La Wawilishi, ndo liliendeleza ubaguzi huu hadi kufikia hatua ya kumpiga mrufuku ya kukanyaga Zanzibara Waziri Mkuu Pinda, wengi walishangaa ubaguzi na umoja wa kibaguzi wa wazanzibari.
Lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa kuonya juu ya hili.

Leo mbele ya kadamnasi u Hizbu na u ASP unaonyeshwa hadharani- tofauti zilizokuwepo hata kabla ya uhuru.
Halafu mtu mwenye akili unailaumu CCM.

HUU NI UNAFIKI MKUBWA.
Mnavuna mlichopanda, na Mwalimu was right, salama ya Zanzibar ni Tanganyika.
Kweli huyu Mohammed Said ni mnafiki sana.
Leo anapata wapi moyo wa kum quote Mwalimu Nyerere wa " mfumo Kristo" kama alivyo andika mara kadhaa kwenye nakala zake?

Unafiki wa kibaguzi unawamaliza wazanzibari.
 
MAGUFURI EBU FUTILIA MBALI UFIRAUNI WA VIONGOZI WA CCM MABAGACHORI USIWAANGALIE USONI WASHENZI SANA. Wataipeleka shimoni Zanzibar ubaguzi wa wazi unao endelea Zanzibar ni kaburi la wazanzibar linalochimbwa na ccm.
hapo msimtegemei Makufuli kuleta muafaka,hapo tegemeeni Makufuli kuzidisha mtafaruku kwa kuwa upande wa ccm na ndio mtakubaliana nami kwamba, Makufuli hana ubavu wa kuongoza nchi hii kwa haki
 
Hapa siyo issue ya ussm fukuzia mbali watu wasio na akili..! Ni ujinga ambao ata wangekuwa CUF wasingetakiwa kuufumbia macho.
 
Back
Top Bottom