Ubaguzi wa Afrika ya kusini dhidi ya waafrika wenzao utawatafuna wenyewe kombe la dunia!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
14,205
Reaction score
19,142
Waangalie hapa walivyosheheni kwa silaha za jadi: pinde, mapanga, fimbo, marungu wakiwa tayari kuwashambulia waafrika wenzao walioko Afrika ya kusini.
 
Watengwe tu. Hakuna namna. Wazanzibari na nyinyi mjiandae. Zamu yenu inakuja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…