Ubaguzi wa ajira kama huu hatuutaki nchini

Ubaguzi wa ajira kama huu hatuutaki nchini

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Nimeona post kama hii ya nafasi ya kazi,nikajiuliza ina maan Tanzania limekuwa shamba la bibi?
Hakuna mtanzania mwenye vigezo vya kufanya kazi kama hii kweli?
Hili halikubaliki watanzania wenzetu wako wanapambana na bahasha zao usiku na mchana..
Fursa zinazopatikana wapewe Watanzania kwa ajili ya kuwasaidia watanzania wenzetu na sio wageni.
Wageni wapewe nafasi wasio weza kuzimudu watanzania wenzetu..


We are looking for Sales persons who will handle Home appliance and electronic items. Someone who can do market survey, promote and make the branch grow.

Location: Tanzania (AFRICA)
Experience: 5 years +

Package for the Sales Persons.
🔹 Housing with standard furniture can be shared apartment
🔹 Company Vehicle for official usage
🔹 Air ticket every 2 years’ to your country
🔹 Medical cover for self within TZ
🔹 Telephone Allowance for office use
🔹 Salary Range from $1000

Note: please this job is only for Indians

Thanks & Regards
Recruit4in
India
Cell & WtsApp: 91- 9581095925
1000resumes@gmail.com, recruit4in@gmail.com

Employment Type​

Full-time
 
Profit oriented.
Hao watanzania wenye vigezo wameifikisha wapi nchi?

Halafu kuna usiriazi wa kazi haupatikani shuleni,vyuoni. Bali ni usiriazi wa kiutamaduni.

Halafu hiyo kazi hata kama ni kibongo bongo haiwezi kufanywa na watu walio level ya bahasha. Kuikuza kampuni sio jambo la kitoto. Mbongo ataikuza kama ni yake.
 
Watanzania wengi majizi. Badala ya kukuza wataua kampuni ya watu.

Hebu fikiria mabasi ya mwendokasi tu yamewashinda. Mabasi yapo, abiria wapo, barabara zipo ila wameshindwa kuendesha. Sasa wakipewa kampuni ambayo inabidi utafute mteja na kampuni ikue wataweza?
 
Ipo siku tutalikumbuka JIWE
Jiwe ndio nani?
JamiiForums-1949850660.jpg
 
Back
Top Bottom