Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Usher-smith MD

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
9,558
Reaction score
12,335
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?

Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.

Eti huua wanaume wao, na Wala hatujawahi kuona kesi zao mahakamani

Kuna kipindi nilikuwa naishi Dar, mara nyingi mazungumzo ya inner circle na outer circle na extension yake in both end kulikuwa na msemo mmoja common sana; Mama mwenye nyumba! Hii ni kwamba wapangishaji wengi ni kina mama na mara nyingi hawana waume. Sasa sijui ni wamachame/wachaga wote hao au vipi?
 
WANASEMA ETI ''UKIOA MWANAMKE WA KIMACHAME UKAPATA MAFANIKIO UKATAJIRIKA MWISHO WA SIKU WANAKULOGA NA HATA KUKUUA NA MALI WANARITHI WAO" NA KINGINE WANASEMA WANATAKA WEWE MUME UANGALIE UPANDE WA MKE TU NA SIO KWENU

NB; NIMESIKIA SIO MIMI.. MSIJE MKANINUKUU VIBAYA
 
Hiyo hata mimi nimesikia ila sijawahi kithibitisha,
Hivi yule Ufoo Saro wa ITV ni wa Machame?!
Wanasema alitaka kumdhurumu boyfriend wake mwanajeshi mali ndio yakamkuta yale masaibu.
Ufoo Saro sio Mambo ya michepuko kweli na mamake kumtapeli mumewe yalileta Vita kubwa Sana. Tamaa mbaya Sana
 
Kuna kipindi nilikuwa naishi Dar, mara nyingi mazungumzo ya inner circle na outer circle na extension yake in both end kulikuwa na msemo mmoja common sana; Mama mwenye nyumba! Hii ni kwamba wapangishaji wengi ni kina mama na mara nyingi hawana waume. Sasa sijui ni wamachame/wachaga wote hao au vipi?
Ila globally wanaume hufa mapema Sana kuliko wanawake, wanaume wanapitia mengi
 
Back
Top Bottom