Mama Terry
JF-Expert Member
- May 20, 2014
- 420
- 573
Believe me issue Wala sio hela lazima Kuna issue kubwa Sana, roho ya mwanamke ukichoka manyanyaso Ni hatari sanaa.Wanaua Waume zao..mtaani Kuna mdada wa kimachame aliolewa na msukuma..huyu mbaba anajiweza kiasi chake..akamkodia majambazi uchwara mchana kweupe..mama mkwe akajeruhuwa Hadi leo anatembea upande mmoja anachechemea..Mume akakatwa panga na kuchomwa visu alicheleweshwa kupeleka hospital akajifia hapo hapo..yule mwanamke akuguswa hata kidogo..kupelekwa polisi kubanwa akakiri niyeye amefanya hayo..Hadi leo yupo jela tangu mwaka 2008 na alikuwa na mimba miezi 4 masikini .
Huko usukuman kila siku wanawake wanachomwa visu kisa unakuta sh 500 tu kila siku
Mara ndo balaa lakin kila siku wachaga tuu.