Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Kama mnalijua hili, kwanini mnataka tufanane kwa haki ? Hii akiba tu, nimeweka kidokezo.

Turudi kwenye mada, mimi mke wangu wa pili ni Mmachame, ila tunawezana sababu na mimi siyo mtu mzuri kabisa.

Kuna jambo huwa mnalisahau mnapo ongelea haya mambo, nitawaambia.
Jurjan my friend good to see you

Unataka tufanane tuweje na vikojoleo sawa au unamaanisha Nini?
Wewe kumbe una wake wengi Hadi na mmachame umemuoa huogopi kuuliwa wewe maana watu waoga Sana.

Hebu sema wewe majibu ya hayo mwishoni.
 
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.

Mwaka 2001wakati nataka kuoa WAKINA Mshana Jr walinishauri nisiioe mmchame.

Ilikuwa ulenga hiyo.
 
Jurjan my friend good to see you
Mimi siyo rafiki yako, sijawahi kuwa na urafiki na mtoto wa kike. Hili tuliache halina msingi kwa muda huu. Almuhimu nimefurahi kukuona pia mrembo wa kani.
Unataka tufanane tuweje na vikojoleo sawa au unamaanisha Nini?
Hujaelewa hapa, hatuwezi kufanana kwa haki sababu kiasili maumbile yetu yako tofauti. Msingi wa haki hutegemea na maumbile. Ila kwa hadhi ya ubora kwa siai watu wa imani tunaamini ya kuwa hakuna mbora kwa mwingine isipokuwa yule ambaye ana mtii Mola muumba, hapa ndipo tunapata ubora, yaani wewe ukiwa Mmachame ila unamtii Mola wako, wewe ni bora kuliko Myahudi ambaye ni Mshirikina.
Wewe kumbe una wake wengi Hadi na mmachame umemuoa huogopi kuuliwa wewe maana watu waoga Sana.
Unaogopaje kitu ambacho lazima kitakukuta tu, sisi tunaogopa tutaonana vipi na Mola wetu kama hatujajiandaa vyema tukiwa hapa duniani, hili ndiyo huwa tunaliogopa na tunaogopa je haya matendo yetu mema tunayo yafanya je Mola wetu ameyakubali au vipi ? Sisi wenye akili timamu uoga wetu upo hapa.
Hebu sema wewe majibu ya hayo mwishoni.
Hakuna kiumbe makini kama mwanamke endapo ukimfunza mafunzo mema na akayafanyia kazi, hawezi kufanya upuuzi huo, hao wanao fanya hivyo ujue ni wajinga na hawana maarifa ya dini.
 
Mimi siyo rafiki yako, sijawahi kuwa na urafiki na mtoto wa kike. Hili tuliache halina msingi kwa muda huu. Almuhimu nimefurahi kukuona pia mrembo wa kani.

Hujaelewa hapa, hatuwezi kufanana kwa haki sababu kiasili maumbile yetu yako tofauti. Msingi wa haki hutegemea na maumbile. Ila kwa hadhi ya ubora kwa siai watu wa imani tunaamini ya kuwa hakuna mbora kwa mwingine isipokuwa yule ambaye ana mtii Mola muumba, hapa ndipo tunapata ubora, yaani wewe ukiwa Mmachame ila unamtii Mola wako, wewe ni bora kuliko Myahudi ambaye ni Mshirikina.

Unaogopaje kitu ambacho lazima kitakukuta tu, sisi tunaogopa tutaonana vipi na Mola wetu kama hatujajiandaa vyema tukiwa hapa duniani, hili ndiyo huwa tunaliogopa na tunaogopa je haya matendo yetu mema tunayo yafanya je Mola wetu ameyakubali au vipi ? Sisi wenye akili timamu uoga wetu upo hapa.

Hakuna kiumbe makini kama mwanamke endapo ukimfunza mafunzo mema na akayafanyia kazi, hawezi kufanya upuuzi huo, hao wanao fanya hivyo ujue ni wajinga na hawana maarifa ya dini.
Umesema msingi wa haki unategemea maumbile kivipi na na Ni Nani ana haki kuliko mwingine kwa sababu yeye ana maumbile flani, na Ni Nani ana haki.
Umesema mwanamke atii Mola ndio anakuwa Bora vipi role ya mwanaume, pia Kuna watu wanaishi vizuri tu bila kuamini huyo mola unaye msemea nawanaishi vizuri tu.
Pia usisahau wapagani, waabudu miungu au miti unawaweka kundi gani hapo?
So hii issue ni so broad depending na unaamini Nini na standing yako basi hyo tu kusema eti haki hutolewa kisa maumbile chineeeke oooh
 
USIMLETE!!
Hana hata 100 huyo mwanae anawaza kuuawa? Atauwawa na shida zao tu nyingiiii.
It takes a real men to marry a smart, well raised, confident and hard-working chaga girl sio kavulana kabaki fanyiwa decision.
Ndo maana Kuna wenye uwezo wa vorgue na IST, we uwezo wako Ni IST usione wenye vorgue zao wabayaaa.
Stick to your line na ajiandae maendeleo atayasikia redion
😁😁🏃🏃
 
Tena alogwe huko nje afe taratibu, mke ndani kashajichokea umalaya wake atasingiziwa.
Na kikubwa kinachofanya wachaga waonekane wabaya Ni hawez kukubali kunyanganywa Mali za watoto wake. Akishakataa tu kutoa Mali lazima aambiwe ameua

😂😂😂😂
 
Mkuu kaoe huko halafu ulete mrejesho hapa jamvini ama uje kuwaambia wajukuu zako Ushauri mzuri. Nina imani hii itapendezaje
Mimi nimeshakatika kule karibu na mto katerero
[emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97][emoji97]
 
Muko exposed kiaje?

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
We huoni nchi nzima imesimama kisa hiyo voice note iliyotoka, na hata thread za wachaga huku jamii forum Ni nyingi mnoooo
Cheki record kila mahali mchaga is always ontoppp
Mti wenye matunda lazima urushiwe mawe sanaaaaa na mkiyarusha sisi tunajenga mnabaki mnalialia wakati uwezo wa mahari tu hamna😁
 
Umesema msingi wa haki unategemea maumbile kivipi na na Ni Nani ana haki kuliko mwingine kwa sababu yeye ana maumbile flani, na Ni Nani ana haki.
Kawaida umbile la mwanaume ni ushupavu, ujasiri na ukakamavu. Kwa umbile hili mwanaume akapewa jukumu la kutafuta na kurudi kuiletea familia chakula, kuisimamia na kuitunza.

Unapouliza "Ni nani mwenye haki kuliko mwingine... " swali hili ni pungufu unatakiwa kulimalizia ili ufikishe ujumbe ulio kusudiwa, sababu hapo lazima nitakuuliza "Mwenye haki kuliko mwingine kwenye nini ?"
Umesema mwanamke atii Mola ndio anakuwa Bora vipi role ya mwanaume,
Hapa hujasoma ibara vizuri ukaielewa, niliandika ya kuwa hakuna hora zaidi ya mwingine isipokuwa yule ambaye ni mtiifu kwa Mola wake, hata kama ni mmachame kama ni mchamungu yeye ni bora kuliko myahudi popote alipo, kwahiyo haijalishi mwanaume, au mwanamke,haikalishi ni mweupe au mweusi au mwekundu.

Majukumu ya sisi wanaume ni kumsimamia mwanamke na kuhakikisha anapata stahiki katika haki zake, mapenzi, huruma na matunzo.
pia Kuna watu wanaishi vizuri tu bila kuamini huyo mola unaye msemea nawanaishi vizuri tu.
Hapa inabidi uniambie, hao watu wanajuaje lipi baya na lipi zuri, na uniambie akilo inamuongoza vipi mtu katika mema na mabaya peke yake ? Hilo ulitakiwa ulifikirie kwa umakini ndiyo ujenge hii hoja.
Pia usisahau wapagani, waabudu miungu au miti unawaweka kundi gani hapo?
Wema si kufanya lile linalo onekana jema kwa watu, wema ni kupatia katika lile jema unalo lifanya.

Mfano nikikuuliza wewe, unaujuaje uzuri wa kula kwa adabu au kuvaa kwa mwanamke ? Au wewe ukila unakula kwa mkono gani ?
So hii issue ni so broad depending na unaamini Nini na standing yako basi hyo tu kusema eti haki hutolewa kisa maumbile chineeeke oooh
Juzi nilikufundisha jambo moja naimani kama ungemakinika nalo, usiandika hayanilikwambia imani nazo hithibitishwa na kuna imani sahihi, ambazo zimejengeka katika elimu na ushahidi na kuna imani potofu ambazo zimejengeka katika ujinga, hawaa za nafsi na ushirikina.
 
Unataka kuniambia matukio ya hivyo hayajawahi kutokea popote zaidi ya kwa huyo?!
Huko Mara na usukuman wanawake wangap wanauawa na watoto kisa sh 1000 au wivu tu was kijinga???
Mi napenda sana nyeupe kuiita nyeupe, hao wanaonyanyasa na kufikia kuua wake zao siwasapoti ila sijawazungumzia kwa sababu nadhani nitakuwa nje ya mada.

Sent from my SM-N910W8 using JamiiForums mobile app
 
Nini na standing yako basi hyo tu kusema eti haki hutolewa kisa maumbile chineeeke oooh
Bibie labda itakuwa naandika kwa lugha ninayo ielewa mwenyewe, naomba nikuulize swali dogo sana.

Wewe haki yako au jukumu lako huwa unalijua kwa kutumia mimi ? Je kupitia semina na kura za maoni za ututezi wa wanawawake au kwa elimu au kwa njia gani ? Naomba unieleze hili kielimu siyo kihamasa za uanamke wako.
 
Back
Top Bottom