Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Unataka kusema hao wanaume wanaokufa mapema hufa kwa stress za kushikilia mambo ?????
Stress,inasababisha depression, Mara pressure ukiwa na stress hata ukiumwa ujue uko hatarini Sana kuliko mtu asiye nayo. Furaha na amani moyoni huongezza siku za kuishi duniani
 
Stress,inasababisha depression, Mara pressure ukiwa na stress hata ukiumwa ujue uko hatarini Sana kuliko mtu asiye nayo. Furaha na amani moyoni huongezza siku za kuishi duniani
Sidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.

Exposure to risks nyingi ndiyo inasababisha vigo hivyo.

Wanaume hata uzeeni huendelea kufight for their families huku wanawake wakiwa hawako kwenye situation kama hizo.
 
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Mkuu kaoe huko halafu ulete mrejesho hapa jamvini ama uje kuwaambia wajukuu zako Ushauri mzuri. Nina imani hii itapendezaje
 
Sidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.

Exposure to risks nyingi ndiyo inasababisha vigo hivyo.

Wanaume hata uzeeni huendelea kufight for their families huku wanawake wakiwa hawako kwenye situation kama hizo.
Hiyo ni mojawapo tu ya sababu zaidi ya elfu ambayo ni kisababishi Cha matatizo mengi kwa wanaume, depression ni hatari Bora hata kuvunjika mguu utatibu Sasa Jambo linalokusumbua mda mrefu
 
Hawa ndio wale nilisikia hawaoni kazi kukuchanganyia damu ya period kwenye chai ili upite na mia pale tu apatapo mtoto Wa kiume
 
Sidhani kama hiyo ni sababu kuu ya vifo vya haraka kwa wanaume.

Exposure to risks nyingi ndiyo inasababisha vigo hivyo.

Wanaume hata uzeeni huendelea kufight for their families huku wanawake wakiwa hawako kwenye situation kama hizo.
Utakuwa Wa huko mzee nini?? Mwanaume wa kimachame mwenyewe anamuogopa binti wa kikwao wewe ni nani hata useme Hayo?
 
Utakuwa Wa huko mzee nini?? Mwanaume wa kimachame mwenyewe anamuogopa binti wa kikwao wewe ni nani hata useme Hayo?
Mimi siwezi kuwa mmachame mkuu nitake radhi.

Hata comment yangu hukuielewa.
 
I agree with you ndio maana comments za mwanzo nilisema wanaume hupitia mengi Sana kuliko sie, kwa wenzetu ni suicide Ila kibongo bongo Sasa eeeh including Mambo mengi mno
Kama mnalijua hili, kwanini mnataka tufanane kwa haki ? Hii akiba tu, nimeweka kidokezo.

Turudi kwenye mada, mimi mke wangu wa pili ni Mmachame, ila tunawezana sababu na mimi siyo mtu mzuri kabisa.

Kuna jambo huwa mnalisahau mnapo ongelea haya mambo, nitawaambia.
 
Jamii ya wachaga wote ni matatizo wanajali fedha kuliko utu!
Na ndo mana wasio na Hela December hawaendagi kwao. Wanajifanya nao wana utu na utanzania na kuipata Huruma ya watanzania japo kujikomba komba kwa watanzania ila sio wa kwao.
 
Ukitaka kuowa angalia asili ya mwanamke, angalia ukoo wake na Kama ni wa shari bas usijiingize kweny shari acha waowane wao kwa wao..
 
Huu uzi umeletwa ili kumrusha roho Kigagwaluze mzee wa Misitu
 
Wanaua Waume zao..mtaani Kuna mdada wa kimachame aliolewa na msukuma..huyu mbaba anajiweza kiasi chake..akamkodia majambazi uchwara mchana kweupe..mama mkwe akajeruhuwa Hadi leo anatembea upande mmoja anachechemea..Mume akakatwa panga na kuchomwa visu alicheleweshwa kupeleka hospital akajifia hapo hapo..yule mwanamke akuguswa hata kidogo..kupelekwa polisi kubanwa akakiri niyeye amefanya hayo..Hadi leo yupo jela tangu mwaka 2008 na alikuwa na mimba miezi 4 masikini .
Unakumbuka yule wa morogoro aliyeolewa na mkikuyu waliishi dumila naye alimkodia majambazi. Simu yake imefuatiliwa maongezi akasikika akiongea " huyo fala ivi bado hamjammaliza"
Hawa huwa ni kuwakojolea tu afu unaingia usukumani,umasaini ,kigoma ama ukuryani unachukua mke wa kudumu naye asiye na tamaa na Mali wala fwedhwa.
Ninaomba mrejesho aliyeoa Hayo makabila ila sio digitalized or westernized girls anasafa na marriage yake alete ushahidi MIE namuozesha binti chapa bado sealed
 
Back
Top Bottom