akajasembamba
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 1,179
- 1,794
Huu
Huu siyo ubaguzi ni hofu dhidi ya mila mbaya na ovu ya kuua wanaume ili kurithi mali. Ukiwa na tabia mbaya ukaogopwa au kutengwa usiseme unabaguliwa. Tz ina makabila yasiyopungua 120, na wamachame ni tawi tu la kabila la wachagga ni sub tribe, tujiulize why wasiwaseme wachagga wa Uru au wakibosho au wamarangu au wakilema au wakirua au warombo au waold moshi. Ukweli upo wanawake wa kimachame wajirekebisheHivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.