Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sema mods waliufunga
Nitakuonyesha uutafute[emoji1787]
Nilicheka nusura nizimie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema mods waliufunga
Nitakuonyesha uutafute[emoji1787]
Nilicheka nusura nizimie
Mkuu ni mmoja tu yule anayesababisha sisi tuwepo,mwenye nguvu na mwenye uweza huyo ndiye mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanini nisikuite mkuu?
Amechekesha sana
Kuna Uzi mwingine nao mwanaume alikuwa anaomba ushauri kuhusu ndoa yake,mke amempanda kichwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi jina lako ni nani vile?Mkuu ni mmoja tu yule anayesababisha sisi tuwepo,mwenye nguvu na mwenye uweza huyo ndiye mkuu..
Binadamu kamwe hawezi kuwa mkuu...
Sasa basi niite kwa jina langu ama kaka tu inatosha...
MnazarethHivi jina lako ni nani vile?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnazareth
Wanyakyusa eeeh!?Bila kusoma uzi; mimi wachaga na wapare ni BIG NO. Sometimes hata wanyakyusa siwapendi wamamaneno mengi.
Dem wa kinyakyusa akitaka kukwambia kaunguza mboga maneno yake hapo utachoka
Unalitaka la ubatizo sio!??[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Silitaki hilo
Ewaa la ubatizoUnalitaka la ubatizo sio!??
Nitakupatia
Kwa sasa uanze tu na kakaEwaa la ubatizo
Nipatie ili nisikuite mkuu
Unataka kuninyima nini?[emoji2092]Kwa sasa uanze tu na kaka
Siku zote huandika ninachokiamini so wewe ndo upime iwe point or pointless huo Ni mtazamo wako ulivo view comments zangu na Sasa hapo hainihusu. Wewe hata ukiona sijaandika chochote huo Ni msalaba wako na siko humu kumvutia yoyote so relax
Hehehheh umenichekesha sana Bwaba SHIMBA.Wanyakyusa eeeh!?
Nina ushahidi na hili. Wote ni wanaharakati wa haki za wanawake [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hahah duh.....Unataka kuninyima nini?[emoji2092]
Acha uhuni ww hahahahaha.Unataka kuninyima nini?[emoji2092]
Wow safi, kwa kweli ukabila sio mzuri as kila mtu anatabia yake pekeake, tuanze kubadilika Mimi na wewe dunia iwe sehemu nzuri.Shida MNA damu ya kikenya nyie mpaka ulipita bahati mbaya mkawa Tanzania. Ila mlistahili muwe Kenya ndo mnafanana nao na ndo mana mnapigiwa kelele. Hivi unajua Kilimanjaro Ilikuwa Kenya sema Kenyatta hakuwa na bandari akaiomba Mombasa Ilikuwa kwa pande ya Tanzania ndo tukafanya exchange wakachukua Mombasa na sie tukaichukua Kilimanjaro.
Ujue hata ule ushindani wenu ule wa kikabila kuwa mko juu kuliko kabila lingine hayo mambo yapo Kenya.
Hivi unajua kuwa nesi,mwalimu,Engineer, mhasibu,bwana kilimo ama mwanasheria ni lazima afanyie kazi eneo alilozaliwa ama kwenye kabila lake hawezi kufanya kazi eneo LA kabila lingine. Mfano mkurya Engineer akafanye kazi Kwa wanyakyusa. Anafanya kazi huko huko kwao. Ndo wakenya walivyo.
Mana baba wa Taifa lao alipandikiza iyo mbegu tokea alivyopata Uhuru kwa kujimegea ardhi yenye rutuba na kuitoa kwa kabila na jamaa na marafiki zake.
Na ndo mana unaona hata uraisi unazunguka kwa wakikuyu na wakalenjini.
Unamjua Moi ni mpwa wa kenyata afu Moi akarudisha uraisi kwa waliompatia.
kenya wako sana sensitive kikabila ni kama Kilimanjaro tu. Ukiwa hizo kanda kitu cha kwanza wasipokutambua lafudhi yako ni utasikia unaulizwa aisee wewe jamaa ni wa wapi? Nimeishi huko nawajua Sana Kaenda huko Tarakea napajua sana.
mchaga hawezi nunua duka LA MTU wa kabila jingine kama kuna MTU wao hapo hapo jirani.
kenya wanashindana kikabila hawana umoja wa kitaifa kama tuliojengewa na baba yetu.
kenya huwezi unaitwa majina yote ya kizungu ama ya kiarabu mfano Abdalah Alli ama john Daniel. Wanavyoandikisha watoto wao cheti cha kuzaliwa ni lazima uweke jina LA kikabila ili wakutambue. Mwanangu wa kwanza nimemzalia Arusha na kumchukulia birth certificate Arusha.
nilimuandikisha mpaka jina LA tatu MTU hajajua ni kabila gani ila wakanikomalia kuwa ni sheria ni lazima uweke jina LA kikabila. Mfano MIE naitwa Peter john Augustine ni mfano. Mwanangu ni Grace. Sasa katika kuandikishwa like jina ili niingie ofisi za DC nipewe cheti wakadai hakuna jina LA ukoo..
nimeshangaa Hayo mambo nimeyakuta kwa kanda iyo iliyoendelea.
binafsi nimesoma shule zilizokuwa zinakutanisha vijana wa pande zote za Taifa na dunia. Mana nimepitia Tabora Boys,Ilboru,Tanga Technical kwa chuo ni Udsm na rudn ya Moscow Russia so nimekutana na ubaguzi wa kikabila ,kidini na kirangi aka tribalism,religionism and racism.
before sijaenda sekondari Nilikuwa nasikia ukabila na udini sikuwa najua mana yake . so nilipofikia huko nikaujua nilitokea kuuchukia mpaka nikaacha Kaenda kwenye majumba ya kuabudu Mungu namuabudu navyojua mwenyewe.
mfano wa ubaguzi wa kidini mwanafunzi mwenzenu anaumwa ambaye mko naye labda tycs,uhima,ukwata ,assa,ama Moslems. Sasa mmoja akiumwa akalazwa hospital wa mfano wa Moslems so uhima hawaendi kumjulia hali na hatangazwi during ibada kuwa kuna mwenzetu anaumwa tukamjulie hali. MIE nilitokea kuchukia Sana dini kinachohubiriwa hakifanyiwi kazi.
kuna kijana Nilikuwa nalala naye cube moja akaniambia huwa haendi msikitini mana kule viongozi wao wanahimiza kuwa wasishirikiane na makafiri katika kusoma. Na ni kweli wale wa f1 wakifika wale wa f3 wanawachukuwa na kuwafundishia kule wanakoswalia.
unakuta MTU anamfundisha wa darasa laki ukipita kama nawee upate material wanaacha kupeaana madini kama ni wa kabila moja wanaanza kufundishana kikabila ama wakifika kwenye points zinatamkwa kikabila
so nilitokea kuuchukia udini na ukabila katika maisha Yangu.
pia naogopa MTU mmekutana first day anakuulizia wewe kabila ama dini gani .
yaani ukiniuliza Hayo maswali miwili ndo mwisho wa story na wewe.
Tribalism and religionism create disunity among societies na hichi ndicho kilichofanya tukatawaliwa na wazungu mana wao kuwa na mtawala wa nchi nzima sie tulikuwa kikabila.
Na ndo mana kama machifu wote wangekuwa kitu kimoja mkoloni angatuacha.
ivi anajua kuwa mangi Mareale alipishana na Nyerere Uwanja wa Taifa tokea UNO.
Mareale alitangulia huko UNO kuomba Uhuru wa kaskazini ila hakupewa mana alikuwa na mentality ya kikabila.
Nyerere alivyoenda aliomba Uhuru wa Tanganyika yote ndio akapewa baabdaye akaunganisha Zanzibar na Tanganyika ukawa Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2092]Acha uhuni ww hahahahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah duh.....