Hapana. Alikuwa na jamaa kimasilahi, alipopata alichokuwa anakitafuta (nyumba nadhani) akamgeuka jamaa na kuanza kumkwepa as if hamjui na hawajawahi kuwa na mahusiano. Mama mtu inasemekana alikuwa anasapoti hiyo akili ya binti yale ile hali anajua history ya binti yake na huyo jamaa.
So jamaa ameshawekeza pesa yake nyingi sana kwa bi dada akaona isiwe shida, mama si ndio mwalimu wako, ngoja nije kuwapa darasa juu ya kuheshimu muda na jitahada za mtu. Akaenda akatandika risasi mama mtu kwanza then akachapa risasa binti kisha na yeye akajimaliza. Binti kapona but mama yake ndio ikawa bahati mbaya......
Sijui anasurvive vipi lakini kwasasa, ila kwa mimi nisingeweza tena kuona maana ya maisha kwa kilichotokea, tukio kama lile ni baya sana especially ukizingatia yeye ndie ameliaccerelate na kumsababishia mama yake umauti usio kuwa na sababu.