Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Wengi tu bana tunasahau mapema, ushaona wanaume wamasamehe kirahisi ka wanawake?
Sisi huwa hatusamehei usaliti tu basi.... Mengine kama kupika vibaya, kutokuwa msafi, na kadhalika tunaweza samehe, ila inapokuja swala la kumleta mtu wa tatu katika umoja wetu tayari umeshatia ndimu kwenye chai ya maziwa.

Kwa kifupi huwa hatutaki mwanaume yoyote apewe nafasi nje yetu kwenu, awe baba yako, kaka yako, rafiki yako, mtoto wetu wa kiume, yoyote yule.....

Wanaume kwa wanawake wetu ni kama watoto kwa mama zao.....
 
Wanaume huuliwa huko nje bana wanakohangaika Mara michepuko, Mara kudhulumiana na kutapeliana huko Sasa visasi vikitokea mke ndo mhanga baada ya kufa na Mali zenyewe ukute walitafta na mke from zero mpaka wakapata mali, kwanini usipiganie jasho lako na wanao eti kisa kuogopa maneno ya waja
Mmmmmmhmn
 
Sisi huwa hatusamehei usaliti tu basi.... Mengine kama kupika vibaya, kutokuwa msafi, na kadhalika tunaweza samehe, ila inapokuja swala la kumleta mtu wa tatu katika umoja wetu tayari umeshatia ndimu kwenye chai ya maziwa.

Kwa kifupi huwa hatutaki mwanaume yoyote apewe nafasi nje yetu kwenu, awe baba yako, kaka yako, rafiki yako, mtoto wetu wa kiume, yoyote yule.....

Wanaume kwa wanawake wetu ni kama watoto kwa mama zao.....
Huo Sasa wivu na ubinafsi Yani nisimpende baba yangu, kaka angu wa damu Mimi siwezi kabisa, na hapo kwa mtoto wangu wa kiume ndio kabisa nadhani nikipata mtoto wangu wakiume nitaamishia upendo wote kwake aisee kuliko chochote maana hyo ndo back up yangu halisi kabisa kutoka kwangu. Na wewe mwanaume utasubiri Sana hapo
 
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo?
Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf wachagga mtusaidie, wanawake wa machame waliwafanya nini wanaume wengine wa kichagga?! Mshana Jr hebu tusaidie.
Ndio upo tena Sana kwani jamii nyingi zinatofautiana mila zao mfano hadi sasa baadhi ya jamii zinaendekeza mila na desturi za ukeketaji na zingine hakina hivyo,muoaji ataenda kwenye jamii isiyokeketa.Ni hilo tu kwa leo
 
Huo Sasa wivu na ubinafsi Yani nisimpende baba yangu, kaka angu wa damu Mimi siwezi kabisa, na hapo kwa mtoto wangu wa kiume ndio kabisa nadhani nikipata mtoto wangu wakiume nitaamishia upendo wote kwake aisee kuliko chochote maana hyo ndo back up yangu halisi kabisa kutoka kwangu. Na wewe mwanaume utasubiri Sana hapo
Unaona sasa majibu ya kimachame kabisa haya.......
 
Sisi huwa hatusamehei usaliti tu basi.... Mengine kama kupika vibaya, kutokuwa msafi, na kadhalika tunaweza samehe, ila inapokuja swala la kumleta mtu wa tatu katika umoja wetu tayari umeshatia ndimu kwenye chai ya maziwa.

Kwa kifupi huwa hatutaki mwanaume yoyote apewe nafasi nje yetu kwenu, awe baba yako, kaka yako, rafiki yako, mtoto wetu wa kiume, yoyote yule.....

Wanaume kwa wanawake wetu ni kama watoto kwa mama zao.....
Yaani ninyi mnavyofeel hivi, na sisi tunafeel hivyo hivyo...! Sema kwa sababu dunia hii ni yenu mnatupuuza na kutuamulia jinsi ya kufeel
 
Unaona sasa majibu ya kimachame kabisa haya.......
Hivi naachaje kumpenda mtu niliye mubeba tumboni miezi Tisa jamani mbona ngumu Sana,Mimi nikizaa wanangu ndio ndugu wa kwanza wengine next, Tena nikipata jembe langu lakiume ndio haswa naota mapembe
 
Wewe na wewe hebu achaga ushamba. Hilo jina wamepewa sababu ya ushari wao na kupenda kudhuru wanaume kama wale wapalestina kuwa mashariki ya kati uarabuni huko wanapolipuana na kufanyiana visa.
Huo sio ushamba
Ni kutofahamu tu
Sjjawahi kuishi Kilimanjaro
 
Hivi naachaje kumpenda mtu niliye mubeba tumboni miezi Tisa jamani mbona ngumu Sana,Mimi nikizaa wanangu ndio ndugu wa kwanza wengine next, Tena nikipata jembe langu lakiume ndio haswa naota mapembe
Na aliyemuweka humo ni vema ukampenda pia...
 
Back
Top Bottom