Ubaguzi wa makabila katika kuoa

Afu naona unaanza uchokozi Nita organise nije tuwavamie tuwapatie adabu mana naona unakoelekea sio. So mnataka kutunyima nini ivi so sie tushuhudie mnaliwa na milambo kama sie hatuwahitaji ama. Pls komaa dada
Hahaaaaa
 
Mbona hamsemi la Wahindi kuoana wenyewe kwa wenyewe. Hataki kabisa ile ngozi kama ya nguruwe tuimiliki sisi waNegro.
 
Naam nami bila shaka nasisitiza usijaribu kuoa mmachame.yamenikuta mangi nashauri hata awe mzuri na wangu alikuwa mzuri na kiuno cha nyigu na mcheshi na upole sana na she was so positive na mwenye story sana.

Lakini nasisitiza usioe mmachame kabisa.


Sent from my SM-A605FN using JamiiForums mobile app
 
Eti huua wanaume wao, na Wala hatujawahi kuona kesi zao mahakamani
Hii kuua ni kweli kabisa mimi ni mchagga wa kibosho nimeshuudia wazee wakisema, kuhusu wanawake wa kimachame kuwa wa jeuri hii ni ukweli kabisa kati ya 10 7 ni wajeuri.
 
Amekufanyaje, maana bado upo hai.
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mzee ilikuaje?
 
Wewe mbona hueleweki?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Unaonekana una chuki KUBWA SANA nawachagga nasikitika ni kwanini mnawachukia wachaga kiasi hiki? Ni mali na akili walizo pewa na Mungu tu au kuna lingine?
 
wanajiweza kwa hilo aisee
Mchaga akitaka lake atafanikisha katika namna yeyote ile...Inshort wanajua ku trick ubongo wa mwanaume ili wateke hisia zake kirahisi na kumfanya atekeleze yote wanyotaka. Hilo la ndoa ni dogo mno ndio ile unasikia bwana mchumba wangu yuko freshi sana ila hapo kabla hajavaa shela akishavaa tu maisha ya pamoja yakaanza hamna rangi utaacha kuona.

Aunt yangu ni mwana socialogy na mtu wa gender anawajua vyema huwa ananisimuliaga tabia zao hao watu. Anasema ni toka kwao wanapewaga maelekezo jinsi ya kum treat mwanaume ili aingie kwenye 18. Wana uwezo hata wa kupora wanaume za watu.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hizo ni skills ambazo wanawake wengine hawana.
 
kwakweli hao wanaowafundisha wanajiweza[emoji2] kwaweli wengine hatuna hata skill moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…