David Harvey
JF-Expert Member
- Jul 17, 2014
- 3,771
- 9,237
Wewe ni mwehu kumbeSisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!
Wewe ni mwehu kumbeSisi sawa tu wajazane kila kona ya Tanganyika, waibe wanavyotaka sawa tu, wateke , waue watanganyika sawa tu cha msingi tunataka amani basi!!!
Hebu Kwanza:View attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.
Sina la kusema.
Samia pamoja na ukihiyo wake wote, na uovu alionao, naona anaondoa "Muungano", na kuweka nchi moja.Wakuu wa mikoa na wilaya wako Tamisemi ambayo siyo moja ya wizara za Muungano, kifupi Tamisemi ndiyo serikali ya Tanganyika lakini wapo wakuu wa mikoa na Wilaya raia wa Zanzibar, hii imekaaje?
Tanzania ni moja na sote ni wamojaAngel Nylon pitia hapa...
Kwa wewe ulitaka uwafanye niniKwani huku kwetu mahakamani hao wazenji hawapo. ????
Na wakiwepo utawafanya nini ??
Watu wenye akili ndogo kama ninyi mtateseka sana na mambo ya Zanzibar. Ila kwa wenye akili tunawaonea huruma sana. Kwa Uingereza, mtu kutoka England HAWEZI kuajiriwa moja kwa moja Wales au Scotland hata kama ni nchi moja. Lakini mu Welsh au M Scottish anaweza kuajiriwa sehemu yoyote na kwa kazi yoyote England!View attachment 3632116
Huku kwetu wanajaza nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri.
Sina la kusema.