carmel
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 2,836
- 265
- Thread starter
-
- #21
kwa wale ambao hamjaoa, mtahangaika enz ya uchumba kutafuta kiwanja na process nzima mpaka nyumba kuisha then mtasema kweli uhusiano wetu ni wa maana tuoane sasa, mkishaoana tu ile nyumba utaambiwa si yenu tena ila ya kwake mwanamke na atakuambia ukitaka tuachane hata sasa hivi!,number 2 hata ukijitahidi kujibana mkeo apate elimu zaidi au gari yake binafsi kwa asilimia 85 mbona utakoma hapo baadae, akipata cheo au fedha zaidi ndio utajuta kuzaliwa (i stand to be corrected) sasa ufanye nini? OMBA KILA SIKU MUNGU AWAPE UELEWA NA BUSARA KUBWA NA ZINGATIA YALIYOANDIKWA KWAMBA UNATAKIWA KUISHI NA MWANAMKE KWA AKILI!! and no 3 kuhusu ubahili si kawaida kwa mwanaume kukataa kutoa matumizi ya nyumbani kwake lazima kuna tatizo kubwa KAA NAE CHINI ASEME!!
Hata mimi nadhani there is more than just that