Ubahili kwenye ndoa

Ubahili kwenye ndoa

kwa wale ambao hamjaoa, mtahangaika enz ya uchumba kutafuta kiwanja na process nzima mpaka nyumba kuisha then mtasema kweli uhusiano wetu ni wa maana tuoane sasa, mkishaoana tu ile nyumba utaambiwa si yenu tena ila ya kwake mwanamke na atakuambia ukitaka tuachane hata sasa hivi!,number 2 hata ukijitahidi kujibana mkeo apate elimu zaidi au gari yake binafsi kwa asilimia 85 mbona utakoma hapo baadae, akipata cheo au fedha zaidi ndio utajuta kuzaliwa (i stand to be corrected) sasa ufanye nini? OMBA KILA SIKU MUNGU AWAPE UELEWA NA BUSARA KUBWA NA ZINGATIA YALIYOANDIKWA KWAMBA UNATAKIWA KUISHI NA MWANAMKE KWA AKILI!! and no 3 kuhusu ubahili si kawaida kwa mwanaume kukataa kutoa matumizi ya nyumbani kwake lazima kuna tatizo kubwa KAA NAE CHINI ASEME!!

Hata mimi nadhani there is more than just that
 
Nguo, birthday, anniversary,outing!!! Yaani, hizi ndio ameona priority kwenye ndoa yao? Yeye amewahi kumfanyia nini mumewe hata kwa hicho kidogo anachokipata? Upendo ni kutoa zaidi ya kusubiri kupokea!

Kwa hili siwezi kulisemea sana, kila mtu anapriority zake, cha msingi ni kwamba, every woman needs to feel loved and cared for! sasa kwa criteria zipi, it depends, na labda huyu hizo ndo zake, i duno!
 
U know what i dont understand about ladies is 1 thing,if u have a job and ur getting paid what financial assistance do you need????kama kila ki2 in the house your provided with,unataka nini tena????apart from that,kama unataka upewe assistance then what is your salary for???? Msaada always upo,but strictly kwa mambo muhimu,co unadai hadi hela za kuendea saluni..............

Niliwahi kusikia mahali pesa ya mwanaume usipoiweka busy, yani usipojua inaenda wapi simply because you there food in the house, utakuja kukuta umepata wasaidizi wanaojua kuitumia, sijui ukweli wa hili sana. Hekla za saluni nazo ni muhimu kutoa, sio uwe unasifiwa tu unajua kutunza wakati hata gharama ya perfume hujui, welcome to the world of women!
Otherwise, mi nadhani ni muhimu kusaidiana na kugawea budget kulingana na kipato ili family imove forward, yani hadi pesa za saloon, za mavazi nk vyote viingie kwenye family budget.
 
cha msingi ni kwamba, every woman needs to feel loved and cared for! sasa kwa criteria zipi, it depends, na labda huyu hizo ndo zake, i duno!

Tatizo la wanawake wana fikra potofu sana yaani wameumbwa kupokea na si kutoa! usikute huyo mwanamke ana kazi yake ya maana kabisa na ana kipato kizuri tu lakini nae bahili.
 
Ulijaribu kumwuliza huyo dada kabla ya kuoana huyo kaka alikua na hizo tabia au zimeanza baada ya kuoana?maana inawezekana hata wakati wa uchumba labda alikua hampi kitu chochote hata aouting hazikuwepo na mdada aliridhika kabisa,sasa inakuwaje waingie kwenye ndoa aanze kulalamika,mwulize vizuri hizo huduma kabla hawajaoana zilikuwepo? maana isije kuwa analilia kitu ambacho hata kabla hakikuwepo.

Hili silijui sana, sijui kama alikuwa hivyo au kaanza baada ya kuoana. But whether alikuwa hivyo or not but the moment you decide to get married as a man, lazima ujue unaongezaa majukumu, na mojawapo mkeo, sio kuishi kama bachelor wakati umeoa. Ukijastuka, hasa kwa wanawake wanaopenda sana kutunzwa na pesa ya mume utalkuwa ushaibiwa.
 
Tatizo la wanawake wana fikra potofu sana yaani wameumbwa kupokea na si kutoa! usikute huyo mwanamke ana kazi yake ya maana kabisa na ana kipato kizuri tu lakini nae bahili.
yeah, that is possible, huyu dada ana kazi lakini si well paying kama ya mumewe, ah, ndoa zina mambo jamani
 
Nguo, birthday, anniversary,outing!!! Yaani, hizi ndio ameona priority kwenye ndoa yao? Yeye amewahi kumfanyia nini mumewe hata kwa hicho kidogo anachokipata? Upendo ni kutoa zaidi ya kusubiri kupokea!

hapo tatizo ni la huyo baba kumwachia na jukumu la kuhudumia familia kabisa, hivyo vingine mbona wengi tu hatufanyiwi na ni vitu vya kawaida kabisa.
 
hapo tatizo ni la huyo baba kumwachia na jukumu la kuhudumia familia kabisa, hivyo vingine mbona wengi tu hatufanyiwi na ni vitu vya kawaida kabisa.

Hilo la kuhudumia familia nadhani walishalimaliza:
........na kwamba siku za kwanza jamaa hata pesa za mahitaji ya home alikuwa anabana sana akitegea mkewe atoe.

Vimebakia hivyo nilivyovitaja!
 
yeah, that is possible, huyu dada ana kazi lakini si well paying kama ya mumewe, ah, ndoa zina mambo jamani

Yeah kwani huyu mwanaume ana kula nyumbani chakula? kama hali mama abaki kimya aendelee kuishi tu sio kulia lia eti haachiwi pesa za matumizi wakati mwanaume hali nyumbani ya nn aliache hilo janaume.
 
Yeah kwani huyu mwanaume ana kula nyumbani chakula? kama hali mama abaki kimya aendelee kuishi tu sio kulia lia eti haachiwi pesa za matumizi wakati mwanaume hali nyumbani ya nn aliache hilo janaume.

acpo kula yeye watoto nao hawali? na kwanini acle nyumbani.
 
Niliwahi kusikia mahali pesa ya mwanaume usipoiweka busy, yani usipojua inaenda wapi simply because you there food in the house, utakuja kukuta umepata wasaidizi wanaojua kuitumia, sijui ukweli wa hili sana. Hekla za saluni nazo ni muhimu kutoa, sio uwe unasifiwa tu unajua kutunza wakati hata gharama ya perfume hujui, welcome to the world of women!
Otherwise, mi nadhani ni muhimu kusaidiana na kugawea budget kulingana na kipato ili family imove forward, yani hadi pesa za saloon, za mavazi nk vyote viingie kwenye family budget.

mwanaume yoyote aliyeoa pesa yake inatakiwa iwe/iwekwe busy.....utakuta wanaume wachache sana wanawakumbuka wake zao kwenye masuala yao ya urembo nk....kwangu mie napenda kujihudumia mwenyewe kwenye masuala yangu kama urembo, mavazi yeye huwa ananikumbuka mara chache na cna shida juu ya hilo....
 
Carmel mke wa mtu iweje muongee yote hayo? Je wewe ndio unamliwaza? Acha wayatatue matatizo yao wenyewe. Wewe mpambe????????????????????????????
 
Carmel mke wa mtu iweje muongee yote hayo? Je wewe ndio unamliwaza? Acha wayatatue matatizo yao wenyewe. Wewe mpambe????????????????????????????
Kweli
By the way habari za Mzumbe University?
Shemeji hajambo? Msalimie sana
 
Jamani kuna wanaume wengine wanakera sana, kuna dada mmoja tuko nae ofisini ana kazi sio tu ya kutunza familia, bali na kumtunza mumewe! lazima aampe pesa ya baa, hili jibaba linafuatilia kila senti ya huyu dada, akigundua amenunua kitu asichoafiki kama vile nguo au perfume, inakuwa kesi kubwa. Pamoja na mshahara na marupurupu aliyonayo huyu dada ukimuona utadhani hiuse girl, amechakaa na kuzeeka maana hana raha kwenye ndoa, na zaidi ni mzigo wa kumhudumia huyu mume asiyetaka kujishughulisha na majukumu ya familia ingawa na yeye ana kazi.

Jamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?
 
Jamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?
Usahuri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyeji
Sasa Annina fanya kuni-import basi ndoa yako ikipata joto.
Sawa?
 
Jamani akina dada ndoa ni kama koti, ukiona joto limezidi vua! unatakiwa kuwa happy sio mradi ndoa hata kama unateseka - ukiwa na hamu ya ile kitu si una import tu mbona wapo wengi hata humu JF?
Ushauri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyeji
Sasa Annina fanya kuni-import basi ndoa yako ikipata joto.
Sawa?
 
Ushauri mwingine afadhali kwenda kwa mganga wa kienyeji
Sasa Annina fanya kuni-import basi ndoa yako ikipata joto.
Sawa?

Unaweza kwenda kwa mganga wa kienyeji kama ndio njia yako ya kutatua matatizo... ninachosisitiza ni kwamba kila mtu ana deserve kuwa happy, kama ndoa ni tatizo kwako ni bora ku opt out na kusonga mbele, maisha bila mume/mke yanawezekana!
 
Carmel mke wa mtu iweje muongee yote hayo? Je wewe ndio unamliwaza? Acha wayatatue matatizo yao wenyewe. Wewe mpambe????????????????????????????
Mimi ni mwanamke na nina marafiki vilevile, na kama rafiki yangu kaona yamemzidi hawezi kuyashikilia moyoni whats wrong with sharing? Penye wengi pana mengi dada/kaka.
 
Kweli
By the way habari za Mzumbe University?
Shemeji hajambo? Msalimie sana
Mzumbe University sijui kama habari zake ni nzuri au si nzuri maana mi si msemaji wa university! shemeji yako ni nani? nimwambie nani anamsalimia? anakujua?

We Sipo bwana umenichekesha sana. wkend njema na Idd njema.
 
........Hakuna kitu kinachokera kama mwanaume kuwa bahili, mwanaume anatakiwa kuwa mtoaji hata kama mkewe ni mwajiriwa.
Tena usisubiri kuombwa, kuwa mtoaji kwa GF/mchumba/mke bila kuombwa maana ni wajibu wenu.
Huyo dada aendelee mgomo baridi hadi kieleweke, kama mumewe hamshirikishi kwenye pesa zake na yeye asiwe anamshirikisha kwenye pesa zake. Mwanaume gani huyo asiyejua wajibu wake kama kichwa cha familia!!!
 
Back
Top Bottom