WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
hii inanikumbusha, kuna Mama mmoja alitafuta chupi yake akaikosa, na akabidi amuulize House girl, "chupi yangu mbona haionekani ama umeichukua?" House girl akajibu " mimi huwa sivaagi chupi , hata baba anajua (yaani mume wa yule mama)
Katika famila moja,baba mwenye nyumba alijikuta kila akipewa shopping list, toothpick ni item inayojirudia sana.
Akaona lazima akomeshe hiyo tabia.Akawaita wanawe, hausigel na mamsap na kuwauliza iweje toothpick hazikai!
Wote wakawa wamejiinamia hawana la kusema.Hausgel akakurupuka
" baba, siyo mimi kabisaaa! Ni hawa akina .......Mimi nikimaliza kutumia, situpi.Huwa nazirudishia kwenye kichupa chake"
MAKUBWA HAYO! Kila mmoja alibakia kamtolea macho kwa mshangao.
duh! Naona baba mwenye nyumba anajuana vizuri na house girl wake.
hehehe"Duh! naona baba mwenye nyumba anajuana vizuri na house girl wake."
Lakini mbona hili tatizo la baba wa nyumba kutaka kumjua vema housegirl linaongezeka? au hawa wasichana wanatumwa kuwajua vema baba wa nyumba?
dah dah dahteh teh teh teh teh
Chamtu****
Nimeipenda Avatar yako!
we acha tuUmependa nini hapo? Presha jamani,asubuhi hii..ha ha,expess yourself!
teh teh teh teh teh
we acha tu
yaaani ningeweza kuinanimate bafuni kwangu walah ningekesha leo
BelindaTena kama una udhaifu wa haraka ni balaa..Poleni sana,avatar imewatega maana nizinge zinategua kama mabomu..
shekheMkuu hii avatar yako inanikumbusha kule zamani kwenye ze uchungu.