Ubahili mwingine mhh!!

Ubahili mwingine mhh!!

shekhe
hili zigo ktk avatar ya Chamtuvima linanipa shida sana kwenye kuchanganya picha ktk ubongo wangu.
Sijui kama Belinda naye amejazia-jazia hivyo au? ah we acha tu mabinti hawa watatumalizia mitaji mwaka huu

Oohh Belinda yuko average which I enjoy most....kwa kweli kazi ipo....kuna siku nilikuwa kwenye mgahawa akaingia binti mmoja hahahah wanaume wote waliacha kula wanapepesa mimacho.....baada ya mdada kuondoka mzee mmoja akasema anachukia kuzeeka....!
 
shekhe
hili zigo ktk avatar ya Chamtuvima linanipa shida sana kwenye kuchanganya picha ktk ubongo wangu.
Sijui kama Belinda naye amejazia-jazia hivyo au? ah we acha tu mabinti hawa watatumalizia mitaji mwaka huu

Halafu walivyo wajanja sasa, mitaji yako inafilisiwa wakati yeye anaporomosha nyumba na biashara kedekede daima mtoto mchanga halali na hela analala na nepi/pampasi..Si unaelewa mambo ya dont sit on your own capital, ha ha

Anyway tukirudi kwenye mada, tuache ubahili na kuwa na ukaguzi wa toothpick kwenye vichupa vyake maana wengine wamezoa kuona vimejaa hivyo wakimaliza kutumia wanarudishia kwa kichupa. Ubahili ni mzuri na mbaya..
 
Housegirl kweli wana vituko lakini nasi matajiri wao tujitahidi kuwaweka presentable. Akina mama wengi wanafikiri wakimpendezesha housegeli basi ndo anampalilia mume amtamani.

Hii myanaume huwa haiangalii hali, akili ikigonga tu pale chini baaassiiii ni shida kwa mbele, haangalii kama huyu binti kaoga leoo au lah, atakachokutana nacho atatafakali mbeleni akishamaliza.

Sitaki nilete mada za afya hapa lakini kwa ufupi; akina baba tujitahidi kuwa wasafi hasa kama umeoa. Ukitoka huko ulikoiba jitahidi uoge kabla ya kukutana na mkeo. Cancer ya ukeni inachangiwa pia na kuchanganywa kwa backeria huko ukeni.

Hata kama una njaa, kumbuka kunawa kwanza ndipo ule. Sheria ni zilezile.

Hausegirl apendeze ili achukuliwe na waume wengine huko nje, vishawishi kwa baba vipunguwe. Kama hapendwi na wengine huko nje basi atakula kwa urefu wa kamba yake, te te teh teh.
 
Ipo hii moja, housegeli kaingia mjini hajawahi ona flushing toilet, mama mwenye nyumba hakumpa orientation housegeli. Mambo yakaendelea. Baada ya jua kali la siku wakiwa wametualia nyumbani, mama akaomba maji ya kunywa, akaletewa. Punde baba naye akaomba maji, akaletewa. Mara mtoto naye akaomba, housegeli akasema 'maji yenyewe yamekwisha kule kwenye chemichemi'.
Wenyenyumba: mmmmh! wakatahamaki, chemix2 ipi??.
housegeli: si ile pale kwenye kisima cheupeee

Wakabaki midomo waziiii? Nani alaumiwe???
 
Duh chamtu, hilo chana chupi...mama wee
 
Back
Top Bottom