Ubahili wenye tija

Vyote naunga mkono ila hapo kwenye no.8
Nikurekebishe kidogo ukisema uwe hata na huyo mpenzi mmoja kwa hawa wadada wa siku hizi ambao ukimtongoza tu anageuka kuwa yatima yaani maisha yake yote yanakuwa mikononi mwako kuanzia kula, kodi, michango ya harusi na kushona sare, kusuka, mavazi, vipodozi, hela ya mchezo, marejesho, nauli, outing, mamake anaumwa kijijini, baby nikwambie kitu, Nk.
Hapo kwa mwezi andaa sio chini ya laki 3 tena hapo ni kwa hawa mademu wa kawaida sio wale slay queens ambao wanapenda kwenda na fashion [emoji848]
Back to the point no.8 Usiwe na demu kabisa ikiwezekana piga nyeto au ukizidiwa unanunua malaya angalau mara moja kwa mwezi(bei inategemea na location ulipo ila kwa sisi huku ukiwa na elfu 30 unapata malaya mzuri kabisa wa kutommba usiku kucha tena bila kondom)
#maendeleo hayana chama
 
Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa.

9. Kabla ya kununua kitu fanya utafiti, kuna vitu vya bei ndogo ila vina quality nzuri

Umewezaje kuweka bei ndogo na na quality nzuri kwenye sentensi moja?

Ukiona bei ndogo lazima kuna kitu kipo compromised tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…