Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Vyote naunga mkono ila hapo kwenye no.8Kama ubahiri ukifanywa kwa tija basi matokeo yake yatakuwa chanya na yenye manufaa.
Hatua kumi [10] za kutumia ubahiri positively;
1. Chemsha maji ya kunywa nyumbani.
2. Usinywe soda, nunua blender tengeneza juisi yako mwenyewe, afya na pesa zako utasave za kunywa soda ovyo ovyo.
3. Usinunue vitu vya fashion, nguo, simu toleo jipya, gari toleo jipya.
4. Kutaka kuendana na wakati
5. Pika chakula chako mwenyewe hasa jioni
6. Usiende likizo ovyo ovyo
7. Usitoe ofa ovyo ovyo
8. Usiwe na mpenzi zaidi ya mmoja
9. Kabla ya kununua kitu fanya utafiti, kuna vitu vya bei ndogo ila vina quality nzuri
10. Kaa karibu na unapofanyia kazi zako
Nikurekebishe kidogo ukisema uwe hata na huyo mpenzi mmoja kwa hawa wadada wa siku hizi ambao ukimtongoza tu anageuka kuwa yatima yaani maisha yake yote yanakuwa mikononi mwako kuanzia kula, kodi, michango ya harusi na kushona sare, kusuka, mavazi, vipodozi, hela ya mchezo, marejesho, nauli, outing, mamake anaumwa kijijini, baby nikwambie kitu, Nk.
Hapo kwa mwezi andaa sio chini ya laki 3 tena hapo ni kwa hawa mademu wa kawaida sio wale slay queens ambao wanapenda kwenda na fashion [emoji848]
Back to the point no.8 Usiwe na demu kabisa ikiwezekana piga nyeto au ukizidiwa unanunua malaya angalau mara moja kwa mwezi(bei inategemea na location ulipo ila kwa sisi huku ukiwa na elfu 30 unapata malaya mzuri kabisa wa kutommba usiku kucha tena bila kondom)
#maendeleo hayana chama