ubakaji jkt

ubakaji jkt

flyn ryder

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
656
Reaction score
86
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..

Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili...kwa kweli sasa tunakoelekea ni kubaya..
 
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
 
Wewe hili jina lako tu linatosha kunifanya niamini na vitendo vyako vipo hivyo hivyo..lakini kama kweli una moyo wa huruma basi huwezi kusema maneno hayo..
 
hiyo habari ya lini??
basi na mimi ngoja nianzishe thread ya habari ilikwisha pita kitambo......SIMBA 5-0 YANGA

Kama haikuhusu sio laZima ucomment..maana mpaka saiv watu wapo jeshini..na hio thread si uanzishe tu ya nini kushoboka huku..rudi zako fb kwa michundo wenzako huko
 
Wewe hili jina lako tu linatosha kunifanya niamini na vitendo vyako vipo hivyo hivyo..lakini kama kweli una moyo wa huruma basi huwezi kusema maneno hayo..

moyo wa huruma hauwezi kugeuza ukweli kuwa uongo, hiyo ndio hali halisi jeshini, kama unabisha jigeuze uwe mwanamke ujiunge na jeshi uone utakavyoo chezea ukuni
 
Wsichana wengi wanajilegeza wenyewe wachache ndiyo labda wanabakwa
 
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
embu acha uzuzu ukibakwa wewe utajisikia vipi or ur kid????????:disapointed:
 
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.[/QUwabunge mliowzchagua tena wakiwemo wapinzani ndo waliona vyema kabisa dada zetu wapew ukimwi akaf mwshon waseme wanajiuza wakiwa chuon ndo maana wana ukimwi.. ila inauma saaaana hasa kwa sisi ambao ubavu zetu bado wapo huko na wanaotarajia kupelekwa huko... kwanza cion faida yyote mtu kulazimishwa uzalendo sanasan wanaenda kuongeza machungu tu bcoz mtu akishafanyiwa unyama ni lazima awe na hasira ya kulipiza.. daah dem wangu cjui atapona kweli coz mkali hatar
 
hata sisi intake yetu mbona ilitokea but inasoviwa kijeshi hahaha mamb ya jesh bhana
 
Kama haikuhusu sio laZima ucomment..maana mpaka saiv watu wapo jeshini..na hio thread si uanzishe tu ya nini kushoboka huku..rudi zako fb kwa michundo wenzako huko

mimi na wewe nani wa kurudi facebook? wewe umejiunga humu AUGUST 9 2013..........leo ni Sept 5 2013........ MAHESABU YUPO HUMU TOKA 27 JANUARY 2008
ILA NIMEPOKEA USHAURI WAKO
umeulizwa habari hii ya lini???? kwa taarifa yako habari hii ni ya siku nyingi sana na ilishajadiliwa hapa hapa........
mbona unatulisha viporo?
 
sasa kuingia 2008 ndio nini??tambaa zako mbeba mkaa wewe..kama huna la kuchangia kaa kimya...overr
 
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.

Wewe kweli ni mbwa wa manzese. Kwa kuwa ubakaji upo US Army unataka nasi tuhalalishe ushenzi huu? Let USA stands on their virulent culture and let's stand on civilisation.
 
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.

Inaonekana we ni kati ya wale wanaosimamisha magari usiku Manzese kule.Sijui ingekuwa Dada kabakwa kule, au labda kipindi kile cha jkt mzazi wako nae ingetokea alifanyiwa vivyo hvo jeshini.Sijui ungeongea hivyo au sijui ungekaa kimya au labda ungeona wanachofanyiwa watoto wa watu jkt ni kitendo cha kinyama au ungeendelea kusema ni kawaida wanafunzwa uvumilivu katika ndoa au labda ungeendelea kusupport unyama wanaoufanya huko..
pathetic.
 
1. thread imo humu.......ni post ya tarehe 26 JULY ilianzishwa na ndugu mbeyatz
2. na tayari ni CLOSED TOPIC, wewe unakuja leo kusema ni "LEO"
3. Nisamehe kwa kusema haya ewe mtu wa Jf Sisi tuliotoka facebook huwa hatuko makini sana......
4.Nisamehe kwa kupitia kisichonihusu kwani sikupaswa nikukosoe....kumbe wewe ni "mkweli" na mimi ni "muongo" tena mzushi......
5. kumbe kuwa humu toka 2008 si kitu, na uzoefu si mwalimu mzuri........
6. siku nyingine ntakuwa narukia tu mada na kuchangia bila kutumia "mahesabu"
7.TUITWE KAMPALA TUPATANISHWE
 
Ndio na mm nimepost coz hadi leo wanabakwa..so kama umechukia nireport...na lazima kila post ucomment mchundo wewe..
 
1. thread imo humu.......ni post ya tarehe 26 JULY ilianzishwa na ndugu mbeyatz
2. na tayari ni CLOSED TOPIC, wewe unakuja leo kusema ni "LEO"
3. Nisamehe kwa kusema haya ewe mtu wa Jf Sisi tuliotoka facebook huwa hatuko makini sana......
4.Nisamehe kwa kupitia kisichonihusu kwani sikupaswa nikukosoe....kumbe wewe ni "mkweli" na mimi ni "muongo" tena mzushi......
5. kumbe kuwa humu toka 2008 si kitu, na uzoefu si mwalimu mzuri........
6. siku nyingine ntakuwa narukia tu mada na kuchangia bila kutumia "mahesabu"
7.TUITWE KAMPALA TUPATANISHWE

Heheh nani kati yenu ni PK
 
hujakatazwa kupost lililotokea........umetuma habari ya mwezi july halafu unatuambia ni leo, bora habari yenyewe iwe ya kawaida.....mtu kufa kwa kubakwa, una tofauti gani na wale wa ITV wanaorudia habari ya Rwanda? ama wa Star tv waliosema major auwawa huko DRC na kuleta taharuki kumbe wanaripoti habari ambayo imeshapita zaidi ya wiki?
JF huunganisha thread kama ni ujumbe mmoja ila umeripotiwa na watu tofauti...... mwenzetu muungwana wewe hutaki kuelezwa zaidi kudhihirisha adabu yako......
hongera ndugu
 
Back
Top Bottom