ubakaji jkt

ubakaji jkt

Mm nilikuwepo jkt tabora yaan kutesana, nikakaa wik 2, nikatoroka , kama una demu wako kule jua kaliwa, maana tumeyashuhudia ,

Pumbav na wewe uliliwa papuchi/kabaaang'...!!
Tunawatamani sana nyie ambao hamkupiga cozy..vyuo mutabeba dunia mpaka akili ziruke..
"Raia mdudu"
 
Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..

Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili...kwa kweli sasa tunakoelekea ni kubaya..

Suala la watoto wa kike kwenda JKT si sahihi kabisa, nimelipigania hili kwa muda mrefu sana toka enzi zile za JKT ya awali. Hata niliwahi kuandika barua kwa Mh Rais, Bunge na mkuu wa JKT. Sikupata majibu, pengine huu ni wakati muafaka wa kujipanga upya na kukemea mpaka wasitishe hili la watoto wakike kwenda JKT, KWANI KUZUIA KUBAKWA HUKO HAIWEZEKANI.

Ushauri wangu: kwa watoto wa kike kwenda JKT iwe hiari kwa mwenye kupenda na lazima.
 
wewe kama ulipiga kwata ni ww, mm ninayejulikana nilisepa, na pumbav ni ww, jkt kwangu c lazma, na chuo naenda, hanizungui mtu, mwendawazimu wewe
 
Nina wasiwasi sana na mke wangu huko jkt,ila nikikuta amebakwa pindi atokapo tu,lazima nikalipue hiyo kambi
 
wewe kama ulipiga kwata ni ww, mm ninayejulikana nilisepa, na pumbav ni ww, jkt kwangu c lazma, na chuo naenda, hanizungui mtu, mwendawazimu wewe

Wewe me/ke,nina wasiwasi na usalama wa mkia wako,nahisi mapoti washachomvya kinyesi.......!!! Eti mm ninayejulkana nlsepa...

Pole kwa kuzaliwa na chembechembe za oestrogen...!!!
 
Suala la watoto wa kike kwenda JKT si sahihi kabisa, nimelipigania hili kwa muda mrefu sana toka enzi zile za JKT ya awali. Hata niliwahi kuandika barua kwa Mh Rais, Bunge na mkuu wa JKT. Sikupata majibu, pengine huu ni wakati muafaka wa kujipanga upya na kukemea mpaka wasitishe hili la watoto wakike kwenda JKT, KWANI KUZUIA KUBAKWA HUKO HAIWEZEKANI.

Ushauri wangu: kwa watoto wa kike kwenda JKT iwe hiari kwa mwenye kupenda na lazima.

Upo deep sana bhana ngoja
 
hivi hawa walipimwa afya au wanawapeleka tu kuwapigisha kwata,mbona wanaotaka kuwaajiri wanawapima afya before..afadhali sisi wazanzibar hatuhusiki venginevyo hao makuruta wangefanya sherehe..
 
hivi hawa walipimwa afya au wanawapeleka tu kuwapigisha kwata,mbona wanaotaka kuwaajiri wanawapima afya before..afadhali sisi wazanzibar hatuhusiki venginevyo hao makuruta wangefanya sherehe..

Kumbe wakizanziberi weyeeee eeeh??
 
kwaio hili swali limehalilishwa....then hakuna sababu ya mabinti kwenda huko JKT , for what good reason?? na wakiacha wanaume pia watafanywa mashoga...wapi tunaenda huku????????????
hili la watoto wa kike kubakwa huko jkt labda wanafunzwa uvumilivu na uzalendo katika ndoa, jeshini wanawake kubakwa ni jambo la kawaida kabisa, hata US ARMY hii kitu ipo na haiwezi kwisha leo.
 
hivi hawa walipimwa afya au wanawapeleka tu kuwapigisha kwata,mbona wanaotaka kuwaajiri wanawapima afya before..afadhali sisi wazanzibar hatuhusiki venginevyo hao makuruta wangefanya sherehe..

Ndio nini kuuliza swali na kujijibu.....

Jeshi letu si la kizamani kama unavyodhani,kila mtu hupimwa afya kabla cozy haijaanza..

Kama ikigundulika kuwa una maginjwa yasiyomudu mazoezi ya kijeshi basi unakuwa expeptional kule tunawaita wagonjwa wa kudumu/unfit...

Pindi upatapo magonjwa utahudumiwa kitaalam mpaka upone,hautahudhuria mazoezi na vipindi vya kijeshi...

Jkt:nidhamu,utii na ukakamavu
 
wazi afande mie tar 27 naapa
 
Back
Top Bottom