ubakaji jkt

 

Haya ndo matatizo ya kukurupuka kwa serikali yetu kwani maandalizi hayakutosha kukabiliana na mambo kama haya
 
Acha vijana wafundishwe uvumilivu na uzalendo.......kama kubakwa mbona hata mtaani wanabakwa?
 
acha kucingizia vyama vya upinzan we demu wako atakuwa ameishaliwa tayari
 
Its disaster, rmembr no journals invited in the operation, those ribed at, make sure u taste b4 all.aftr there back.
 
Aah kubabeki kwahiyo ndo tumewapelekea vitoweo,,,,,,hivi huuu upumbavu ninani aliyeuleta jkt!jkt!jkt! Aende anayetaka utumwa cyo kulazimishana
 
Mm nilikuwepo jkt tabora yaan kutesana, nikakaa wik 2, nikatoroka , kama una demu wako kule jua kaliwa, maana tumeyashuhudia ,
 
next week wanarudi, kamb ngumu tar 27, kamb za kimama tar 21
 
 
Hii ni mbaya sana.Katika vitu nyeti katika miiko ya askali aliyekula kiapo ni kubaka.Na hasa anapokuwa mkufunzi wa jeshi.Hii naona ni kashfa katika jeshi na bila mzaha muu wa jeshi anatakiwa kulitolea maelezo ili kama kweli limetendeka hatua za kisheria zichukuliwe haraka.Sisi tuliopitia jeshi miaka hiyo hicho kitu hakikuwepo nimesikitika kisikia kuwa siku hizi mwanajf mmoja anasema ni kitu cha kawaida.Kwa taarifa kijeshi kosa hilo limeteketeza vikosi vingi vya wapiganaji katika ulingo wa vita huko ni kutokuwa na maadili.Naomba swala hili lisichukuliwe kimzaha.Hawa sababu ya kuwapeleka jeshini ni kuwaanda kuilinda na kuitetea nchi yao kwanini mkufunzi afanye uchafu huo na aachwe?.=flyn ryder;7242609]Kuna habari inayovuma kua kuna wimbi kubwa la ubakaji kwenye kambi za(ya) mafunzo za(ya) JKT kwa wnafunzi waliohitimu KIDATO CHA SITA wanaojiunga kwenye kambi hizo kwa visingizio vya KUWAFUNZA UZALENDO..
Habari hii sasa sio siri tena na mbinu wanayotumia hawa wanaotoa mafunzi kwa dada zetu ni kua;asubuhi wakati bado kuna kiza kinene wanawapeleka watu kwenye mashamba ya kambini na wanawapangia maeneo kwa umbali mkubwa sana kutoka kwa mwingine,baada ya hapo watoto wakike hubakwa na kutishwa endapo watapiga kelele..

Kuna Mwanafunzi anaedaiwa kufariki Tabora baada ya kuzidiwa na mazoezi ya Jeshi, Halima Kitangilwa (20) amezikwa leo Dar,Lakini Baba yake amesema amedanganywa kuhusu chanzo cha kifo lakini ndugu zake waliokuwepo jeshini wamemwambia ukweli(Kua alibakwa hali iliyomsababishia maumivu hadi kufa), analaumu pia hajapewa ripoti ya uchunguzi wa mwili...kwa kweli sasa tunakoelekea ni kubaya..[/QUOTE]
 

Mwe jamani Agness wangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…