Huwa najiuliza inakuwaje Mwanaume mtu mzima kumbaka binti wa below 18yrs, ina maana wenzetu wana magobole kama yetu ama wao wana shotgun machine
Hivi inawezekanaje hili kufanyika, kwa mtu mzima mwenzangu ni lazima maandalizi yafanyike sasa huko kwingine inakuwaje
Wanaume wenzangu, tuache kuendekeza nyege
Kwanza inaonesha hauko busy na majukumu, kichwa kikiwa busy huwezi kuwaza kulawiti wala kubaka
Mkishindwa, piteni wanapouza umalize nyege zako
Siku hizi kuna hadi shilingi 10,000 kwa mshindo