- by Boss JF Memberkinachoumiza zaidi ni kuwa wale wanaokupenda
like familly and friends ndo wanaumia zaidi hata ukiwa umeshakufa....
mapenzi gani haya ya kuumiza watu weengi wengine.....
Umeshtuka nini sasa?
Nikikumbuka kilichompata mwanadada Whitney (r.i.p), damu inataka kuganda mishipani na nywele zinanisimama! Mwanamke unakomaa weee na mwanaume mwenye tabia mbaya, unatafuta mbinu zote ili tu muendane na ndoa isimame, unamwiga hadi vitendo vibaya - ulevi, drugs,( wanawake wengine hata huanza 'kutembea ovyo hadi wanapata UKIMWI) -kifo kinawakuta!
God forbid!
the worst thing inatengeneza mpaka cyclce kwa watoto
kuna rumours mtoto wao nae ameanza kutumia drugs
imagine at 18 achilia mbali aina ya wavulana ambao
atawaona 'the right one' umewahi imagine hiyo ???
Siyo rumour! Mtoto katoka kutumikia kifungo kwa kutaka kuchomana kisu kwenye ugomvi huku akiwa under influence jamaniii!! Mungu amlinde maana huyo baba mwenyewe sijui atamsauri nini mwana.
I refuse to stay married just for the sake of it, time is too short to be wasted and community, to hell with them. If Bikira Mariam was destined to be single woman, that wouldnt make me the first one.
Mmh sijatukana mtu just my opinionMadame "somebody" tema mate chini ...usimtukane mamba kabla hujavuka mto