Ubakie hadi kifo kikukute au ujikate mapema?

Mtafiti1

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2011
Posts
263
Reaction score
148
kinachoumiza zaidi ni kuwa wale wanaokupenda
like familly and friends ndo wanaumia zaidi hata ukiwa umeshakufa....
mapenzi gani haya ya kuumiza watu weengi wengine.....
- by Boss JF Member

unasemaje wewe mwana MMU?
 
lucky umenishtua today..anyway swali zuri hasa kwa wadada
 
Umeshtuka nini sasa?

usijali tuendelee na mada...
huoni presha wanayopata wadada kutoka kwenye jamii
kuhusu stigma za talaka mfano..
zinawalazimisha waendelee tu na bad marriage mpaka zina wa cost life????
 
Nikikumbuka kilichompata mwanadada Whitney (r.i.p), damu inataka kuganda mishipani na nywele zinanisimama! Mwanamke unakomaa weee na mwanaume mwenye tabia mbaya, unatafuta mbinu zote ili tu muendane na ndoa isimame, unamwiga hadi vitendo vibaya - ulevi, drugs,( wanawake wengine hata huanza 'kutembea ovyo hadi wanapata UKIMWI) -kifo kinawakuta!
God forbid!
 
the worst thing inatengeneza mpaka cyclce kwa watoto
kuna rumours mtoto wao nae ameanza kutumia drugs
imagine at 18 achilia mbali aina ya wavulana ambao
atawaona 'the right one' umewahi imagine hiyo ???
 
I refuse to stay married just for the sake of it, time is too short to be wasted and community, to hell with them. If Bikira Mariam was destined to be single woman, that wouldnt make me the first one.
 
Siyo rumour! Mtoto katoka kutumikia kifungo kwa kutaka kuchomana kisu kwenye ugomvi huku akiwa under influence jamaniii!! Mungu amlinde maana huyo baba mwenyewe sijui atamsauri nini mwana.
 
kuna watu hawana hata love for themselves......
achilia mbali kwa wengine
unaambiwa alipopata habari Whitney kafa...akaendelea na concert kama kawaida
fikiria hapo..hakuna kupiga simu kwa mtoto wala ndugu wala familia wala ku cancel....
ni on the stage....na kuimba nyimbo .....
 
I refuse to stay married just for the sake of it, time is too short to be wasted and community, to hell with them. If Bikira Mariam was destined to be single woman, that wouldnt make me the first one.

Madame "somebody" tema mate chini ...usimtukane mamba kabla hujavuka mto
 
Back
Top Bottom