UBAKWAJI WA TELEZA: Kule Tanzania wameibuka na aina mpya ya ushirikina wa kuwabaka wajane, wameupa jina Teleza

UBAKWAJI WA TELEZA: Kule Tanzania wameibuka na aina mpya ya ushirikina wa kuwabaka wajane, wameupa jina Teleza

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Majirani wetu hawa wa kusini hawajambo kwa vituko vya kishirikina, mara unyofoaji wa viungo vya albino, mara watoto kuchinjwa, sasa kuna aina mpya wameibuka nayo ambayo inatawala kwenye vyombo vya habari, ubakaji wa wajane, wameipa jina Teleza.
Yaani jemba linavua nguo na kuingia kimiujiza kwenye nyumba ya mjane au hata mke ambaye yuko mwenyewe hususan kama mumewe anafanya kazi usiku, linambaka na kumkata kwa kisu kisha linatoweka.



Habari zaidi

https://www.mwananchi.co.tz/habari/...ani-Kigoma/1724700-3269752-152csul/index.html
 
[emoji1484]
20190523_081938.jpeg
 
Ushirikina wa hawa jirani zetu sio wa dunia hii. Alafu wao wanaona sifa, siunaona hizi comments hapa za hawa magwiji wakuteleza.
 
Ushirikina wa hawa jirani zetu sio wa dunia hii. Alafu wao wanaona sifa, siunaona hizi comments hapa za hawa magwiji wakuteleza.

Matukio ya huko kwao hayana mfano wowote duniani, yaani wanahitaji toba ya kitaifa hawa.
 
Ninyi mbona ni Wataalam wa kubaka kondoo na mbuzi

Bora kubaka kondoo badala kumshtukiza mama wa watu kishirikina unambaka na kumkata, nyie balaa sana, ndio maana nilisoma sehemu wanawake wenu wanatia tumbaku kwenye maeneo ya siri maana wamewachoka kwa tabia zenu.
 
Mimi na mambo ya midangayika niache tu,I say.Hao ndio walikuwa wanamimina Tumbaku mle ndani?
 
Wapinzani wamekosa kazi hadi wana bukua mambo ya miaka tatu iliyopita.
Hivi hapa kigoma mbunge ni zitto kabwe, wanobaka wamama ni vijana wa ukoo wake..Haoni yeye kama kijana kiongozi ana jukumu la kukaa na vijana wenzake kigoma awepee mawaidha ya kutofanya unajisi wa aina hii? Kazi yake ni kuruka kwenda ulaya kila wiki anaacha wananchi wake wakiwa na shida za ukosefu wa maadili.
Kweli kazi na bata..bata ndio teleza??
Kiongozi msinzi sana huyu
 
Hata mijini nako kuna wendawazimu wenye akili kama za hao wa Kisii:-
A prime building in Nairobi’s Jericho estate has never been occupied for more than 20 years over allegations of witchcraft.

Those who have attempted to set up businesses there failed miserably. The ground floor and more spacious rooms upstairs that would make for lodgings or conference halls have been covered with cobwebs and dust while the balconies sport overgrown grass.
 
Back
Top Bottom