UBAKWAJI WA TELEZA: Kule Tanzania wameibuka na aina mpya ya ushirikina wa kuwabaka wajane, wameupa jina Teleza

UBAKWAJI WA TELEZA: Kule Tanzania wameibuka na aina mpya ya ushirikina wa kuwabaka wajane, wameupa jina Teleza

Sio Kisii tu, hata huko Kwale ukiwa na mvi, hesabu siku zako kabla hujakatwa shingo!

The rising killings of grey-haired elders in Kwale County over witchcraft accusations has raised a fresh chorus of public disapproval with authorities admitting the motive of the crime is unclear and perplexing.

County Commissioner Karuku Ngumo condemned the killings saying police records show that at least 42 elderly people have been killed since January, this year in mysterious circumstances.
 
Tanzania no nambari moja duniani kwa ushirikina Tena ule was kipumbavu, anyway I wasn't going to be surprised by such.
 
Wakenya kiboko, yaani hata ile ya kunasana mnayo:-

Sema dada ana chura ya haja aisee!!​
 
Tanzania no nambari moja duniani kwa ushirikina Tena ule was kipumbavu, anyway I wasn't going to be surprised by such.
Kwanza kipindi cha uchaguzi utayaskia sana.
 
Bora kubaka kondoo badala kumshtukiza mama wa watu kishirikina unambaka na kumkata, nyie balaa sana, ndio maana nilisoma sehemu wanawake wenu wanatia tumbaku kwenye maeneo ya siri maana wamewachoka kwa tabia zenu.
Kwa hiyo mmehalalisha ubakaji wa mifugo
 
Wakenya kiboko, yaani hata ile ya kunasana mnayo:-

Sema dada ana chura ya haja aisee!!​

watanzania ni wachawi international..hta ukipost video baadhi..huwezi futa ukwel ya kwamba watanzania ni habari nyngne katika uchawi..bwahahaaaa...

mpka chama chenu pia kina support uchawi...
WACHAWI INTERNATIONAL
 
Hivi kuna kabila lolote hapa east Africa linafikia lile lenu lenye watoto wazuri au unatapa tapa tu hapa
 
watanzania ni wachawi international..hta ukipost video baadhi..huwezi futa ukwel ya kwamba watanzania ni habari nyngne katika uchawi..bwahahaaaa...

mpka chama chenu pia kina support uchawi...
WACHAWI INTERNATIONAL
Kwahiyo Wakenya ni Wachawi Local Standard sio?! Then pull up your socks to go international!
 
Ni kweli huyu jmaa lazma anatumia ushirikina. Maana nmejiuliza Kigoma kweli wameshindwa kuweka kamati zao za roho mbya na kumkamata uyo teleza kwa ushirikina?
 
Chezea wabongo wewe, waganga wakitz wana hadi dawa ya kujiunga na freemason na illuminati. [emoji38]
mganga!.jpg
Muda sio mrefu baadhi yao hapa watachangamkia hii 'fursa' ya kumpigia simu huyo Dr. Chipoteka. [emoji1]
 
Majirani wetu hawa wa kusini hawajambo kwa vituko vya kishirikina, mara unyofoaji wa viungo vya albino, mara watoto kuchinjwa, sasa kuna aina mpya wameibuka nayo ambayo inatawala kwenye vyombo vya habari, ubakaji wa wajane, wameipa jina Teleza.
Yaani jemba linavua nguo na kuingia kimiujiza kwenye nyumba ya mjane au hata mke ambaye yuko mwenyewe hususan kama mumewe anafanya kazi usiku, linambaka na kumkata kwa kisu kisha linatoweka.

Habari zaidi

https://www.mwananchi.co.tz/habari/...ani-Kigoma/1724700-3269752-152csul/index.html
Umekuwa mmbeya Sana Kama changudo (CD) Kinondoni
 
Back
Top Bottom