Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

Every country has its own definition of democracy, transparency and legal processes for its citizen, depending on the different circumstances they have been through over time...
Ndiyo maana hata biashara ya utumwa ilikomeshwa duniani kote. Ingekuwa hivyo kuna nchi bado zingekuwa na watumwa.
 
Dawa ni ku- boycott huduma na kutumia njia mbadala ndo watu watajua CCM ni nyepesi sana

Miamala ya pesa kwenda maji. Maeneo mengine muhimu yakatambuliwa. Hawa si wenzetu.
 
Hawa jamaa neno lao jua ni sheria... Huwa hawakwepeshi hawakopeshi..!
 
Mama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Canada, madikiteita huwa hawajali maneno, hawasikii maneno. Wanachosikia ni mabomu, hayo watayasikia na kuyajibu. Idd Amin alipuuza maneno ya Nyerere several times, lakini mabomu aliyasikia sana na yakamtoa Uganda. Apply the same to stupis African dictators
 
Hawa jamaa neno lao jua ni sheria... Huwa hawakwepeshi hawakopeshi..!
Mshana Jr and Canada: madikiteita huwa hawajali maneno, hawasikii maneno. Wanachosikia ni mabomu, hayo watayasikia na kuyajibu. Idd Amin alipuuza maneno ya Nyerere several times, lakini mabomu aliyasikia sana na yakamtoa Uganda. Apply the same to stupid African dictators
 
Alisema yeye na Meko ni kitu kimoja ,sasa ngoja aione sura halisi ya Meko kimataifa.

Soon atajipaka make up nyingine maana hii ya Meko imeanza kumfanya asitongozeke tena.
 
Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kidai katiba mpya.
Wanajadili wataiachaje ili wasipate aibu
 
Anapowaachia wale ambao waliwekwa rumande mkawa mnamsifia mama anaupiga mwingi sana , na mkadhani mama mnaweza kumuonea na kumdhalilisha , sasa naye kachoka na kuamua yeyeyoyte atakayemchezea au kumjaribu atakula jeuri yake.
Hapana Samia rais kabla ya kuwa mwenyekiti wa CCM na Samia rais na mwenyekiti wa CCM ni watu wawili tofauti.
 
Hebu watuache Mahakama zetu ziko huru. Mbona ya kwao hatuwafuatilii
 
Yaani mmeshindwa tu kununua bando la internet la buku 3 ndo mtaweza kuwa na ushahid wa mambo ya ugaid? Ndo maana hata Magu ilifika mahali akamwambia sirro "Watanzania siyo wajinga kiasi hicho" 🤣 🤣 🤣
Mbuni ndo wameshindwa wanaoshinda wameandamana online
 
waambieni canada wasipate shida, wawe wanakuja mahakamani kila siku ya kesi wasikilize, kesi itasikilizwa kwenye open court/mahakama ya wazi, watume wanasheria wao, watume ngo zao wasikilize mashahidi na credibility zao hadi mwisho ili endapo hukumu ikitoka vinginevyo iwe aibu kwao.
 
Nawashauri CCM hii kesi waachane nayo...inawaaibisha...watafute njia nyingine bora zaidi ya kumdhibiti Mh. Mbowe na mikutano yake ya kidai katiba mpya.
Wamechelewa sana(Too late).Hujifunza pole pole kama mwendo wa Konokono.Serikali ya >80% Dr's/Professors.Shame on you CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…