Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

Ubalozi wa Canada: Tunafatilia kwa karibu kesi ya Freeman Mbowe, wasema demokrasia inahitaji uhuru wa kutoa maoni na mikusanyiko

Mtapata taabu sana, subilin ushahid mahakaman
Yaani mmeshindwa tu kununua bando la internet la buku 3 ndo mtaweza kuwa na ushahid wa mambo ya ugaid? Ndo maana hata Magu ilifika mahali akamwambia sirro "Watanzania siyo wajinga kiasi hicho" 🤣 🤣 🤣
 
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Plus a strong economic developement requires stable demokracy. Miafrika mingi ni mijinga sana. Bila uhuru, uwazi na uwajibikaji maendeleo ni ndoto
 
Meko angeendelea miaka mitatu mbele lazima nchi ingemshinda-Kiufupi nchi alikuwa ameshaifanya bankrupt na hakuwa na way out-ndo maana leo unaona makodi ya kila aina kama mzalendo na makusanyo ya luku ili serikali iweze kujiendesha.
Hes hata angeendelea angekwama hata asingekufa. Haya makodi tuliyaona kitambo sana sio kwa sababu ya Samia
 
Hawa polsi ambao sifa yao kubwa ya kupata ajira huko ni kutokuwa na uwezo mubwa darasani, hakika watampakaza uvhafu mama mpaka usoni.

Ukikubali ushauri wa mjinga, baadaye nawe utaonekana mjinga, hata uwe mwerevu kiasi gani!
😅😅😅wale vilaza wote niliosoma nao ndoto zao ilikuwa kwenda kozi ya upolisi. Sina hakika kama walienda
 
Mbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.
Na hili ndilo swali ambalo tumekuwa tunawauliza polisi...

Kwamba, ikawaje wakakosa akili, busara na hekima ya namna ya ku - implement mkakati wao mchafu na hatari wa kumbambikia kesi ya ugaidi ndugu Freeman Mbowe hata kumkamata katika mazingira ya namna ile...??

Ni nani atawaamini kwa kujitetea kuwa huyu mtu hakukamatwa na kushitakiwa kwa sababu ya kuongoza harakati za upatikanaji wa katiba mpya ya wananchi jambo ambalo si kosa kisheria...?

Kosa la ugaidi ni "just by the way". Lakini kimsingi na interest ya watawala ni kumnyamazisha Mbowe asiongoze harakati za madai ya katiba mpya....!
 
Canada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Mungu wabariki Wazungu
 
CHADEMA wanaenda kuwa chama cha siasa kama NCCR-MAGEUZI au CUF believe me or not ....viongozi wake wameshindwa kuwa wise enough katika huu UTAWALA wa MAMA wangeweza ku-win mambo yao ...
Kama ilishindikana kuiua enzi za Mwendazake sidhani kama Ni rahisi kuiua sasa
 
Back
Top Bottom