njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mama anakatisha tamaa sana,watu washa give up naye kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mmeshindwa tu kununua bando la internet la buku 3 ndo mtaweza kuwa na ushahid wa mambo ya ugaid? Ndo maana hata Magu ilifika mahali akamwambia sirro "Watanzania siyo wajinga kiasi hicho" 🤣 🤣 🤣Mtapata taabu sana, subilin ushahid mahakaman
Plus a strong economic developement requires stable demokracy. Miafrika mingi ni mijinga sana. Bila uhuru, uwazi na uwajibikaji maendeleo ni ndotoCanada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Tulimuonya lakini na yeye ni miongoni mwao.Ndio matokeo ya kuzungukwa na waovu.
Hapaswi kumaliza. Kama ningekuwa na uwezo ningemshawishi Mungu afanye yake. Mtu ambaye hajifuzi kwa magufuli??Huyu mama kuna uwezekano asimalize hata hii 4 ya awali.
Hes hata angeendelea angekwama hata asingekufa. Haya makodi tuliyaona kitambo sana sio kwa sababu ya SamiaMeko angeendelea miaka mitatu mbele lazima nchi ingemshinda-Kiufupi nchi alikuwa ameshaifanya bankrupt na hakuwa na way out-ndo maana leo unaona makodi ya kila aina kama mzalendo na makusanyo ya luku ili serikali iweze kujiendesha.
😅😅😅wale vilaza wote niliosoma nao ndoto zao ilikuwa kwenda kozi ya upolisi. Sina hakika kama waliendaHawa polsi ambao sifa yao kubwa ya kupata ajira huko ni kutokuwa na uwezo mubwa darasani, hakika watampakaza uvhafu mama mpaka usoni.
Ukikubali ushauri wa mjinga, baadaye nawe utaonekana mjinga, hata uwe mwerevu kiasi gani!
she is going to exceed the threshold. she is very insecure. Anahofu kwamba Chadema inaweza kumuyumbisha sana.Mama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Dawa ni ku- boycott huduma na kutumia njia mbadala ndo watu watajua CCM ni nyepesi sanaHes hata angeendelea angekwama hata asingekufa. Haya makodi tuliyaona kitambo sana sio kwa sababu ya Samia
Bado hajafikia hata robo mkuu, kwa sasa anaupiga mwingi.Mama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Wahenga walisema ati kusikia kwa mzee kenge hadi atoke mchuzi (damu) puani.. ha ha haMasikio ya kenge labda kama umeyasahau.
Na hili ndilo swali ambalo tumekuwa tunawauliza polisi...Mbowe kama alithibitika anastahili kukamatwa kwa ugaidi ni bora wangemkamatia msibani kule machame na si kwenye tukio la kudai katiba kule Mwanza, serikali mmetuangusha kimataifa na sasa serikali itaumia kiuchumi wa kimataifa na wananchi ndio watakaosaga meno kama enzi si nyingi.
Wahenga walisema ati kusikia kwa mzee kenge hadi atoke mchuzi (damu) puani.. ha ha ha
Mungu wabariki WazunguCanada is closely following the case against the chairman of CHADEMA, Freeman Mbowe. A strong democracy requires: fair & transparent legal processes for all citizens; freedom of speech and assembly; and security forces that uphold human rights & ensure safety of all citizens.
Mama lishenz sana hilo na mimacho yake utadhani linakunyaMama keshafika level ya meko.
She doesn't care anymore
Kama ilishindikana kuiua enzi za Mwendazake sidhani kama Ni rahisi kuiua sasaCHADEMA wanaenda kuwa chama cha siasa kama NCCR-MAGEUZI au CUF believe me or not ....viongozi wake wameshindwa kuwa wise enough katika huu UTAWALA wa MAMA wangeweza ku-win mambo yao ...