Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Nyie endeleeni tu...................................................................................................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo....mbona husemi nini kilisababisha oilcome washindwe kuweka petrol station pale baada ya kuwa wamekamilishe ujenzi wote kwa ajili ya kuanza kuuza mafuta au umehamia dar juzi? si ajabu hata hujui pale ulipojengwa ubalozi wa marekani palikuwa nini kabla.
Mkuu, me navyojua makao makuu ya TISS yapo kunduchi, huko ndipo walipojenga HQ. sasa hii ya karibu na ubalozi wa kenya ni nini? nieleweshe mkuu
Hahahaah!! Ninyi mtakuwa ni watu wa usalama..Tusiongee mengi sana hapa
Mtoa mada umechemka...Makao makuu ya tiss hayapo dsm kama unavyosema, au inawezekana ikawa ofisi lakini makao makuu ya tiss yapo Dodoma na ndipo Makao makuu ya nchi
Kufuatia kuvuja kwa taarifa kuhusu Usikilizwaji wa simu za Viongozi na Wananchi wa Mataifa mbali mbali kulikofanywa na Marekani kupitia Balozi zake, binafsi nina mashaka sana na Ubalozi wa Kenya kua Jirani na Taasisi yetu nyeti ya Usalama nchini.
Hali hii inaongezeka zaid nikiangalia msimamo wa wenzetu katika kushirikiana na Tanzania kimataifa hasa EAC. Naona kulikua na haja ya kuchukua tahadhari kubwa ki location kuliko ilivyofanyika sasa. Nafaham kunakua na assesment nyingi za kiusalama kwa kila jambo ila hii haingii akilini.
Ni vyema kinga kuliko tiba.