Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

Ukisoma comments nyingi Hapo utagundua kuwa wengi hawajui kitu na hawana uelewa juu ya siasa za kimataifa
 
Kumbe na wewe umeona uongo wa huyu mvaa kobaz na mahaba kwa hiyo dini ya waarabu, watukutu....😅😅
Wala yeye hakuchanganyikiwa kuwa tumedanganya..Ni kitu kinachomshangaza kila mtu katika siasa za kimataifa.
Na wewe jiulize maswali haya na naamini jawabu utaipata.
1.Mbona Iraq hailaani mtu yeyote ubalozi wa Marekani na kambi za Marekani zikishambuliwa
2.Syria yuko kimya kabisa marekani ikiteswa na wanamgambo wake
3.Hizo silaha zenye kulenga shabaha kwa uhakika hao wanaoipiga Marekani wanazipata wapi na kuzihifandhi wapi
.4.Wanaoitesa Marekani wakisharusha makombora yao huwa wanalala wapi?
 
Iran ameshawambia waondoke maeneo yote ya mashariki ya kati laa sivyo hawatakua salama sasa ni uamuzi wake achaguwe kufa au kuondoka.
Iran hajifunzi Kwa wababe wenzie akina Ghadafi na Sadam Hussein

Ulaya na Marekani wanaotafita sana Iran Wanajua ndio nchi pekee iliyobaki na jeuri mashariki ya Kati

Iran nadhani siasa zake za nje ya nchi za kijeuri angeachana nazo
 
Ukisoma comments nyingi Hapo utagundua kuwa wengi hawajui kitu na hawana uelewa juu ya siasa za kimataifa
Unajipa moyo tu.Wako waliojifanya wanajua sana siasa za kimataifa na maandishi yao yote yameanza kushika kutu.
 
Jibu ni moja tu hayo mataifa yote uliyoyataja, marekani anatumia balozi zake na kambi zao kama training grounds.

Anafahamu fika kuwa huko ni muda wowote magaidi watadhambulia na atachukua point tatu zake kiulaini, na ndiyo maana hajasema neno hadi hivi sasa...
 
Mfia dini leo nduguzo wapalestina wameuwawa wangapi???😄😄😄
Israel ameshajamba huko, mwanzo hakutaka kubadilishana wafungwa na mateka sasa hivi mbona alikubali bado tunasubiri Marekani akose hela za kuisaidia israel maana kule Ukraine ameisha jiondoa
Kila siku unasemaga mzungu kwa Mwarabu hana ubabe mzungu ataendelea kuwabonda Waafrika weusi na wahindi
 

Anavuna alichopanda. Ataendelea kupata kupata vipigo zaidi na zaidi.
 
Hivi huko misikitini kuna somo la kuvuta bangi?
 
Iran ameshawambia waondoke maeneo yote ya mashariki ya kati laa sivyo hawatakua salama sasa ni uamuzi wake achaguwe kufa au kuondoka.
Iran yeye ana uhakika na maisha yake? Si majaribio kama Hamas halafu baadaye wanakimbilia umoja wa mataifa kusitisha vita?
 
Ngoja amalizane na hamas kwanza baada ya hapo ataenda kwa waume za hamas kina Iran
 
West are biggest hypocrites in the entire universe. Its time we shift Alliance East(Russia,China,Iran).
 
Wanaposema waliweka New World Order ni kweli baada ya vita ya pili ya Dunia Marekani na Muingereza waliweka utaratibu mpya wa dunia baada ya vita (post war world) unaowapa upendeleo wakianza na Bretton woods system pamoja na institutions zao kama UN, IMF, World Bank etc...

New world order sio conspiracy ni kitu kinachowezekana, BRICS nations nao wanatengeneza new world order wakati ambao Marekani inaanguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…