Ubalozi wa Marekani Iraq wapigwa kwa makombora 7. Matano mengine kwenye vikosi vyake Syria

Miaka 100 tu? hata miaka 1000 bado hilo Taifa la Marekani litaendelea kutesa maana lina military army bases zaidi ya 750 duniani, ni upofu tu wa akili sababu ya dini tulizoletewa na mitumbwi enzi za ukoloni.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Sasa kama Ukraine imeshachukuliwa tayari na urusi marekani amebakiwa na nini?
 
Watu walijipanga zaidi ya karne 3 nyuma kujihakikishia wanautawala ulimwengu afu kuna vinchi vimeharibu bongo za Mazumbukuku eti "utawala wa USA utaanguka hivi karibuni" ni vichekesho tupu mbinguni hata jehanamu [emoji1]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
USA itabaki na utawala wa ndani pekee ile enzi ya kuvamia nchi za watu na kupigana vita kama walivyafanya Vietnam, Afghanistan Libya na Iraq zimekwisha. Usikaze fuvu hizo enzi zimekwishaa.
 
Iran hajifunzi Kwa wababe wenzie akina Ghadafi na Sadam Hussein

Ulaya na Marekani wanaotafita sana Iran Wanajua ndio nchi pekee iliyobaki na jeuri mashariki ya Kati

Iran nadhani siasa zake za nje ya nchi za kijeuri angeachana nazo
Uwe unawaza kwa kina Iraq na Libya jeuri waliyokua nayo ni mafuta lakini Iran ndio nchi pekee Middle East yenye teknolojia yake yenyewe ya kutengeneza silaha nzito za maangamizi wewe unadhani marekani mjinga kuigopa Iran? Yale makombora yote unayaona kule Yemen wanarusha mpaka Israel yanatengenezwa Iran. Urusi drone zilizoitwanga sana Ukraine alipewa na Iran. Ni nchi ya 3 duniani kwakuwa na mafuta
 
Jibu ni moja tu hayo mataifa yote uliyoyataja, marekani anatumia balozi zake na kambi zao kama training grounds.

Anafahamu fika kuwa huko ni muda wowote magaidi watadhambulia na atachukua point tatu zake kiulaini, na ndiyo maana hajasema neno hadi hivi sasa...
Hahahah unataka marekani apigwaje hapo Iraq ili aweze kujibu [emoji1787]
 
Iran yeye ana uhakika na maisha yake? Si majaribio kama Hamas halafu baadaye wanakimbilia umoja wa mataifa kusitisha vita?
Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.
 
Ngoja amalizane na hamas kwanza baada ya hapo ataenda kwa waume za hamas kina Iran
Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.
 
Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.
Kwa hiyo kile kipigo wanachopqta hamas pale Gaza kinawafikia iran moja kwa moja?

Safi
 
Israel ameshajamba huko, mwanzo hakutaka kubadilishana wafungwa na mateka sasa hivi mbona alikubali bado tunasubiri Marekani akose hela za kuisaidia israel maana kule Ukraine ameisha jiondoa
Kila siku unasemaga mzungu kwa Mwarabu hana ubabe mzungu ataendelea kuwabonda Waafrika weusi na wahindi
Endeleeni kusubilia embe chini ya mnazi, yaani Israel ashindwe kuua wanamgambo? 😄😄😄.
 
Kwa hiyo kile kipigo wanachopqta hamas pale Gaza kinawafikia iran moja kwa moja?

Safi
Gaza wanapigwa raia wa palestina hasa watoto na wanawake. Wewe umewahi kusikia Al qassam brigade au Al quds brigade au Houthis kule Yemen na Hezbollah kule Lebanon wanakufa ?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani ulitaka hamas wakutangazie kwamba wamekufa?

Ok.. Sasa tufanye wanakufa raia, kwanini huyo Iran anashindwa kuwalinda?
 
Hahahah unataka marekani apigwaje hapo Iraq ili aweze kujibu [emoji1787]
Wachukue iraq,iran,falme za kiarabu,wanamgambo wa Palestine(Hamas), Hezbollah,IS,Alqaeda,Alshabab na wafia dini yenu wote haitokaa mkaizidi U.S.A kivyovyote.

Halafu leo mbona mna midomo mno kwani Israel hajaua vitoto huko gaza?....maana akipiga wakubwa hamsemi ila vitoto ndiyo mnalia mno utafikiri hao watoto wananafsi tatu...
 
Uwe unawaza kwa kina Iraq na Libya jeuri waliyokua nayo ni mafuta lakini Iran ndio nchi pekee Middle East yenye teknolojia yake yenyewe ya kutengeneza silaha nzito za maangamizi wewe unadhani marekani mjinga kuigopa Iran? Yale makombora yote unayaona kule Yemen wanarusha mpaka Israel yanatengenezwa Iran. Urusi drone zilizoitwanga sana Ukraine alipewa na Iran. Ni nchi ya 3 duniani kwakuwa na mafuta
Wairan siyo waarabu. Wale jamaa wana akili nyingi kama ndugu zao wa Kiyaudi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani ulitaka hamas wakutangazie kwamba wamekufa?

Ok.. Sasa tufanye wanakufa raia, kwanini huyo Iran anashindwa kuwalinda?
Mbona hamas wanatutangazia wanajeshi wa IDF wanaowaua kwanini IDF wasituambie na wao Hamas wanaowaua kama wanavyotangaza watoto na wanawake?
 
Wewe si unalishwa propaganda kama zile za kupewa mabikra 72 ukifa ukimpigania Allah?
 
Back
Top Bottom