Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Sasa kama Ukraine imeshachukuliwa tayari na urusi marekani amebakiwa na nini?Miaka 100 tu? hata miaka 1000 bado hilo Taifa la Marekani litaendelea kutesa maana lina military army bases zaidi ya 750 duniani, ni upofu tu wa akili sababu ya dini tulizoletewa na mitumbwi enzi za ukoloni.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
USA itabaki na utawala wa ndani pekee ile enzi ya kuvamia nchi za watu na kupigana vita kama walivyafanya Vietnam, Afghanistan Libya na Iraq zimekwisha. Usikaze fuvu hizo enzi zimekwishaa.Watu walijipanga zaidi ya karne 3 nyuma kujihakikishia wanautawala ulimwengu afu kuna vinchi vimeharibu bongo za Mazumbukuku eti "utawala wa USA utaanguka hivi karibuni" ni vichekesho tupu mbinguni hata jehanamu [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Uwe unawaza kwa kina Iraq na Libya jeuri waliyokua nayo ni mafuta lakini Iran ndio nchi pekee Middle East yenye teknolojia yake yenyewe ya kutengeneza silaha nzito za maangamizi wewe unadhani marekani mjinga kuigopa Iran? Yale makombora yote unayaona kule Yemen wanarusha mpaka Israel yanatengenezwa Iran. Urusi drone zilizoitwanga sana Ukraine alipewa na Iran. Ni nchi ya 3 duniani kwakuwa na mafutaIran hajifunzi Kwa wababe wenzie akina Ghadafi na Sadam Hussein
Ulaya na Marekani wanaotafita sana Iran Wanajua ndio nchi pekee iliyobaki na jeuri mashariki ya Kati
Iran nadhani siasa zake za nje ya nchi za kijeuri angeachana nazo
Hahahah unataka marekani apigwaje hapo Iraq ili aweze kujibu [emoji1787]Jibu ni moja tu hayo mataifa yote uliyoyataja, marekani anatumia balozi zake na kambi zao kama training grounds.
Anafahamu fika kuwa huko ni muda wowote magaidi watadhambulia na atachukua point tatu zake kiulaini, na ndiyo maana hajasema neno hadi hivi sasa...
Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.Iran yeye ana uhakika na maisha yake? Si majaribio kama Hamas halafu baadaye wanakimbilia umoja wa mataifa kusitisha vita?
Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.Ngoja amalizane na hamas kwanza baada ya hapo ataenda kwa waume za hamas kina Iran
Mkuu kua na heshima hakuna mvuta bangi anaweza andika pumba kama za huyo jamaa.Hivi huko misikitini kuna somo la kuvuta bangi?
Siku wakijibu mapigo useme tena huu msemo sawa?. Usianze kuleta lawama kwamba wanaua watoto na wanawake sawa wewe mvaa kobaziAllahu akbar
Tal I ban alishawafunguwa watu macho na masikio, watu washaelewa kuwa hao jamaa wanalolijuwa zaidi ni ushoga tu.Mwanzo wa mwisho wa us pale mashariki ya kati
Kwa hiyo kile kipigo wanachopqta hamas pale Gaza kinawafikia iran moja kwa moja?Iran ndio mfadhili wa vita ya Hamas na israel kama ulikua hujui kwa ujinga wako. Houth, Hezbollah, Hamas hao wote wanapata silaha na fedha kutoka Iran na marekani na israeli wanajua na hakuna anaeweza kufanya lolote kwa Iran.
Endeleeni kusubilia embe chini ya mnazi, yaani Israel ashindwe kuua wanamgambo? πππ.Israel ameshajamba huko, mwanzo hakutaka kubadilishana wafungwa na mateka sasa hivi mbona alikubali bado tunasubiri Marekani akose hela za kuisaidia israel maana kule Ukraine ameisha jiondoa
Kila siku unasemaga mzungu kwa Mwarabu hana ubabe mzungu ataendelea kuwabonda Waafrika weusi na wahindi
Gaza wanapigwa raia wa palestina hasa watoto na wanawake. Wewe umewahi kusikia Al qassam brigade au Al quds brigade au Houthis kule Yemen na Hezbollah kule Lebanon wanakufa ?Kwa hiyo kile kipigo wanachopqta hamas pale Gaza kinawafikia iran moja kwa moja?
Safi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani ulitaka hamas wakutangazie kwamba wamekufa?Gaza wanapigwa raia wa palestina hasa watoto na wanawake. Wewe umewahi kusikia Al qassam brigade au Al quds brigade au Houthis kule Yemen na Hezbollah kule Lebanon wanakufa ?
Wachukue iraq,iran,falme za kiarabu,wanamgambo wa Palestine(Hamas), Hezbollah,IS,Alqaeda,Alshabab na wafia dini yenu wote haitokaa mkaizidi U.S.A kivyovyote.Hahahah unataka marekani apigwaje hapo Iraq ili aweze kujibu [emoji1787]
Wairan siyo waarabu. Wale jamaa wana akili nyingi kama ndugu zao wa KiyaudiUwe unawaza kwa kina Iraq na Libya jeuri waliyokua nayo ni mafuta lakini Iran ndio nchi pekee Middle East yenye teknolojia yake yenyewe ya kutengeneza silaha nzito za maangamizi wewe unadhani marekani mjinga kuigopa Iran? Yale makombora yote unayaona kule Yemen wanarusha mpaka Israel yanatengenezwa Iran. Urusi drone zilizoitwanga sana Ukraine alipewa na Iran. Ni nchi ya 3 duniani kwakuwa na mafuta
Mbona hamas wanatutangazia wanajeshi wa IDF wanaowaua kwanini IDF wasituambie na wao Hamas wanaowaua kama wanavyotangaza watoto na wanawake?[emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani ulitaka hamas wakutangazie kwamba wamekufa?
Ok.. Sasa tufanye wanakufa raia, kwanini huyo Iran anashindwa kuwalinda?
Nakubali wa Iran siyo waarabu ni waajemi na hawana undugu na wayahudi ile ni race tofauti kabisa pale Middle East .Wairan siyo waarabu. Wale jamaa wana akili nyingi kama ndugu zao wa Kiyaudi
Wewe si unalishwa propaganda kama zile za kupewa mabikra 72 ukifa ukimpigania Allah?Mbona hamas wanatutangazia wanajeshi wa IDF wanaowaua kwanini IDF wasituambie na wao Hamas wanaowaua kama wanavyotangaza watoto na wanawake?