pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Nugu, kae urathicwo ni ngoma? Tangu lini nyie wanakijani kibichi na uchawi wenu wote mkawa na concern yeyote kuhusu Kenya? Kawapumbaze watu wengine, hebu leta hizo nyuzi ambazo humo ndani wakenya walikuwa wanawacheka kwasababu ya ugaidi.Mleta uzi kaleta taarifa vizuri tu wala hakuna alipochekelea,
Kwa hiyo na sisi tuwaambie mlikuwa mnachekelea mwaka jana Tz ilipopewa security alert halafu mkafungua nyuzi humu,
Hivi huwa mnadhani kila Muda ni mshindano humu,
Tapala emodai grow up.
mbona waueleweki..Hii onyo chanzo ni mpendwa wenu trump..Tena sijui kwanini unaingiza siasa hapa eti unakasirika kuelezwa na "mwana kijani kibichi" Ungefurahi kuambiwa na nyumbu za upinzani?Nugu, kae urathicwo ni ngoma? Tangu lini nyie wanakijani kibichi na uchawi wenu wote mkawa na concern yeyote kuhusu Kenya? Kawapumbaze watu wengine, hebu leta hizo nyuzi ambazo humo ndani wakenya walikuwa wanawacheka kwasababu ya ugaidi.
Hakuna aliesema mlikuwa mnacheka soma vizuri nilichoandika na upunguze kukurupuka ovyo,Nugu, kae urathicwo ni ngoma? Tangu lini nyie wanakijani kibichi na uchawi wenu wote mkawa na concern yeyote kuhusu Kenya? Kawapumbaze watu wengine, hebu leta hizo nyuzi ambazo humo ndani wakenya walikuwa wanawacheka kwasababu ya ugaidi.
Naam naona umeanza kurudisha rangi zako halisi sijui kwanini ulikuwa unajifanya mlokole wakati hirizi zako kiunoni zinakuwasha washa.Alshabaab ni adui toka nje ya Kenya, kama ilivyo kwa Boko Hatshi, ISIS na Alqaeda, wahusika wakuu katika makundi yote haya ni majeshi sio polisi, Acha kutetea jeshi lenu dhahifu sana, KDF ilikwenda Somalia ili kusambaratisha Alshabaab wasiweze kuishambulia Kenya, kilichotokea ni kinyume na malengo, sasa hivi Alshabaab inashambulia Kenya mara nyingi kwa mwaka kuliko kabla ya KDF kuingia Somalia.
Ona sasa unaanza kutuandikia lugha ya porini.Nugu, kae urathicwo ni ngoma?...
Wewe unataka ifanya hii mada iwe shari sasaKanunue mbuzi basi, awe tayari ndio maafa yakianza na damu ikimwagika usherehekee ukijivinjari na wali kwa nyama choma na kachumbari. Ndio kawaida yenu nyinyi wachawi na roho zenu nyeusi.
Hahahaha, sikulaumu kwasababu inaeleweka wazi kwamba uwezo wa wakenya wengi wa kufikiria ni mdogo sana, kwahiyo majeshi ya Ethiopia yanapovuka mpaka na kuwauwa wakenya na kurudi Ethiopia sio jukumu la KDF ni jukumu la polisi?, Hahaha Mungu saidia wakenya japo wawe na akili za kwendea chooniNaam naona umeanza kurudisha rangi zako halisi sijui kwanini ulikuwa unajifanya mlokole wakati hirizi zako kiunoni zinakuwasha washa. Tishio lolote ndani ya mipaka ya Kenya ni 'jurisdiction' ya Internal Security, DCI, ATPU(Anti-Terrorism Police Unit) na Kenya Police kwa ujumla. Najua wenzao huwa wanaburuzwa ovyo ovyo wakabangue korosho na kuvamia forex. Kwahivyo hutaelewa chochote kuhusu sheria na katiba ya Kenya.
Kwahivyo hayo madai yako kuhusu jeshi la Ethiopia na vita vyao na OLF(Oromo Liberation Front) ni sawa na hilo tishio la kigaidi ndani ya mipaka ya Kenya? Boss huwa unasoma ulichoandika kabla ya kupost? Una hangover kali za wanzuki au?Hahahaha, sikulaumu kwasababu inaeleweka wazi kwamba uwezo wa wakenya wengi wa kufikiria ni mdogo sana, kwahiyo majeshi ya Ethiopia yanapovuka mpaka na kuwauwa wakenya na kurudi Ethiopia sio jukumu la KDF ni jukumu la polisi?, Hahaha Mungu saidia wakenya japo wawe na akili za kwendea chooni
Acha maneno mengi wewe, wenye kutekeleza mashambulizi ya kigaidi Kenya ni Alshabaab ambao huvuka mpaka toka Somalia na kuingia Kenya hata kama ni Wakenya lakini huenda Somalia kupata mafunzo kisha huingia Kenya, kwa ufupi Alshabaab ni adui anayevuka mipaka ya Kenya akiwa na silaha, ni jukumu la KDF kulinda mipaka ya Kenya.Kwahivyo hayo madai yako kuhusu jeshi la Ethiopia na vita vyao na OLF(Oromo Liberation Front) ni sawa na hilo tishio la kigaidi ndani ya mipaka ya Kenya? Boss huwa unasoma ulichoandika kabla ya kupost? Una hangover kali za wanzuki au?
Jombaa, mimi nakueleza facts, kama zilivyo, kisheria kulingana na katiba ya Kenya. Sio huu upupu ambao unatupia humu. Tishio hili la ndani ya mipaka ya Kenya watakaolishughulikia kama kawaida sio KDF. Bali ni vitengo vya usalama vya ndani, internal security.Acha maneno mengi wewe, wenye kutekeleza mashambulizi ya kigaidi Kenya ni Alshabaab ambao huvuka mpaka toka Somalia na kuingia Kenya hata kama ni Wakenya lakini huenda Somalia kupata mafunzo kisha huingia Kenya, kwa ufupi Alshabaab ni adui anayevuka mipaka ya Kenya akiwa na silaha, ni jukumu la KDF kulinda mipaka ya Kenya.
Huwa wanatoa tahadhari za kipuzi sana. Ile Garissa university walisema attack itatokea katika university moja Kenya. Hawakutaja ni university ipi. Sasa hivi wanasema ni hoteli moja bila kufafanua ni hoteli ipi haswa.
Zamani nilikuwa napuuza hizi tahadhari zao lakini kila wanapotoa tahadhari, mashumbulizi lazima yatokee baada ya wiki moja hivi. Kwa hivyo Kenya tuwe makini, Marekani hadanganyi.
Nimekuelewa ngaguyaai, ila usijaribu kunihadaa kwamba huu uzi upo hapa kwa nia yeyote nzuri. Toning'o?Hakuna aliesema mlikuwa mnacheka soma vizuri nilichoandika na upunguze kukurupuka ovyo,
Wewe hapo kulingana na reply yako ya kwanza unatutuhumu kuwa tunawacheka wakati uzi umefunguliwa hauna viashiria vyovyote vya kucheka chochote zaidi tu ya kutoa taarifa,
Ndio maana nikakuuliza hivi "kwa hiyo mwaka jana Tz ilipopewa security alert halafu mkaja kufungua nyuzi za kutoa taarifa mlitaka tuseme mlikuwa mnashangikia au kutucheka? "
Jimoda naleng?
Hujui lolote wewe unanipotezea ATP zangu bure, kazi yoyote ya jeshi la nchi yoyote duniani ni kulinda mipaka ya nchi, adui yoyote, hasa akiwa ni kundi maalumu linaloishi nje ya nchi na kuendesha uhalifu ndani ya nchi, jeshi ndio linahusika.Jombaa, mimi nakueleza facts, kama zilivyo, kisheria kulingana na katiba ya Kenya. Sio huu upupu ambao unatupia humu. Tishio hili la ndani ya mipaka ya Kenya watakaolishughulikia kama kawaida sio KDF. Bali ni vitengo vya usalama vya ndani, internal security. Wakianza na ATPU ambalo ni kitengo cha Kenya Police pamoja na DCI na NIS kwenye intelligence. KDF labda counter-intelligence, yaani kufatilia chimbuko la tishio hili NJE ya mipaka ya Kenya iwe Somalia au nchi yeyote nyingine.
Mnajishtukia sana,Nimekuelewa ngaguyaai, ila usijaribu kunihadaa kwamba huu uzi upo hapa kwa nia yeyote nzuri. Toning'o?
Ukitahadharishwa kwamba nyumba yako itavamiwa na majambazi unataka moaka uambiwe watapitia dirisha la jikoni? Usiwe unatoa comment nyepesi kiasi hiki otherwise kaa kimya.Huwa wanatoa tahadhari za kipuzi sana. Ile Garissa university walisema attack itatokea katika university moja Kenya. Hawakutaja ni university ipi. Sasa hivi wanasema ni hoteli moja bila kufafanua ni hoteli ipi haswa.
Zamani nilikuwa napuuza hizi tahadhari zao lakini kila wanapotoa tahadhari, mashumbulizi lazima yatokee baada ya wiki moja hivi. Kwa hivyo Kenya tuwe makini, Marekani hadanganyi.
Noma sana!Huwa wanatoa tahadhari za kipuzi sana. Ile Garissa university walisema attack itatokea katika university moja Kenya. Hawakutaja ni university ipi. Sasa hivi wanasema ni hoteli moja bila kufafanua ni hoteli ipi haswa.
Zamani nilikuwa napuuza hizi tahadhari zao lakini kila wanapotoa tahadhari, mashumbulizi lazima yatokee baada ya wiki moja hivi. Kwa hivyo Kenya tuwe makini, Marekani hadanganyi.