Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Nchi inajali maisha ya watu wake!! Kunaviongozi watu wafe wasife wao freshi tuu kila MTU apambane nahali yake alimradi anafaidi mema ya nchi haimsumbui
 
USA ukubwa wake ni kama 30% ya ukubwa wa Afrika. (USA 9.834 milliom KM squared na Afrika 30.37 million Km squared.
There are more continents than Africa to render my example relevant...ie USA*3=Africa...

However, If you combine the USA, China, India, Europe and Japan - they all fit into the continent of Africa.

The US can fit comfortably no less than three times.

The UK can fit into Africa over 120 times.

United States is about 8 times bigger than South Africa.

According to a neat overlay map posted to Reddit by user martinswfan, you can fit 30 European countries into the continental US
 
Huu ni uthibitisho tosha kuwa corona Marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki Tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american
Salama Zaid wakibaki Tz labda tu wanaogopa gharama za kusafirisha maiti
 
Zanzibar hapo kuna wazungu wameona bora wakae kwanza zanzibar kuliko kurudi makwao ambako kuna corona.
 
Kuondoka kwao ni zaidi ya corona hawa watu kuna namna sii bure serikal naomba muwe makini
 
Mnazungumza tu; nani kakuambia... ukiwa na hela ndio, ukiwa na bima ndio.. lakini ugonjwa huu umefungua udhaifu mkubwa wa mfumo wa afya wa Marekani...

Mzee Mwanakijiji; sikutegemea wewe utoe kauli hii. Unataka kutuaminisha kuwa Tanzania kuna huduma bora za afya kuliko USA? Najua kweli kuna udhaifu (uwe mkubwa au la) kwenye mfumo wa afya wa Marekani na nchi nyingine nyingi tu, lakini hiyo ndio ikufanye kutaka kutuaminisha hicho ulichoandika?
Tofautisha uwezo wa kupata huduma na ubora wa huduma.
 
Niliwahi kufanya kazi na volunteer mmoja toka Marekani miaka ya mwanzoni mwa 2000 kwenye moja ya wilaya za Mwanza kipindi cha after September, 11. Kila siku Overseas Office walikuwa wanampigia simu kumuuliza kama yuko salama. Na walikuwa wanamshawishi kila siku arudi Marekani wakimwambia ndio sehemu salama zaidi kwake kuishi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani. Na yule Mmarekani (Sitamtaja jina) alikuwa akitwambia kwamba sio yeye tu aliyekuwa anapigiwa simu, bali Waamerika wote walio nje ya Marekani. Kwahiyo, sishangai kama wanafanya hivyo sasa. Wenye kulijua hili watakubaliana nami.
 
Kwa taarifa tu:
- New York imeelemewa na wagonjwa, idadi ya visa inaongezeka mara mbili kila baada ya siku 4.
- Virusi wanasambaa kwa kasi kwenye majimbo mengine.
 
Acha maneno ya kwenye khanga.
Wewe ndo unayo hayo ya kwenye kanga, huna takwimu, huna picha za wagonjwa, huna picha waliokufa, bado upo tu umekomaa unakataa serikali wanachokuambia eti serikali wanafanya assumptions.
 
Manake KWAO hakuna CORONA. wanakula kama Itale. Hafadhali ya Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
 
AFRICANS AND EUROPEANS HAVE GENETICALLY DIFFERENT IMMUNE SYSTEMS... AND NEANDERTHALS HAD SOMETHING TO DO WITH IT




The immune system can be highly active in some people but much less effective in others. This has major implications for the protection of the organism against pathogens – but what is the reason for these differences? To lay the foundations for the establishment of personalized medicine, we need to dissect the factors that affect our response to viral and bacterial infections so that we can understand why some people are predisposed to certain diseases. In a large-scale study published this week in the prestigious journal Cell, scientists from the Institut Pasteur and the CNRS unraveled the immune responses of 200 African and European individuals. They show that there is indeed a difference in the way these populations respond to infection, that this response is largely controlled by genetics, and that natural selection has played an important role in shaping such immune profiles. They also offer proof that the genetic legacy passed on by Neanderthals to Europeans has significantly influenced their ability to respond to viral challenges.

https://www.cell.com/cell/fulltext/S0092-8674(16)31306-X
 
verified IDs wote huwa hamna la maana la kuandika humu.
 
Hawa vipi!!!! Unawatoa watu Mahali salama unawapeleka kwenye maambukizi lukuki!!!!!
 
Watanzania tunamidomo sana afu hatuiamini serikali yetu tatizo ni nini?mi nahis ni mfumo wetu wa elimu unashida somewhere.hatuwezi kuwa na tabia za mizaha kwenye issue serious namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…