Wanachofanya ni kuzuia lawama watu wao wakihitaji evacuation, maana imebaki ndege moja tu! Hawataweza kuja kuwafanyia evacuation plan (kuwaletea ndege binafsi) ili iwaondoe, so wanawakumbusha kama ni kuondoka waondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3]Marekani huu ugonjwa ulipoanza tu China, fasta yeye akawaondoa raia wake huko huku akiwakejeli wachina.Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
SIdhani kama kuna nchi ambayo itaweza kupambana na huu ugonjwa kama china[emoji3][emoji3][emoji3]Marekani huu ugonjwa ulipoanza tu China, fasta yeye akawaondoa raia wake huko huku akiwakejeli wachina.
Sasa hivi goma linarandaranda mitaa ya washington kama kiama vile.
Mungu mkubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda uganda na rwanda kwa kuwapiga wananchi wake bakoraSIdhani kama kuna nchi ambayo itaweza kupambana na huu ugonjwa kama china
Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila swali la kujiuliza ni kwamba,kwao kuna maambukizi zaidi,lakini kwanini bado wanataka watu warudi makwao ?
Marekani WANAWEZA sana kuleta ndege binafsi na kuchukua watu wao.
Watawapeleka wapi.
Wakati huko kwao corona inatamba?.
Mimi nadhani wamarekani WAMEANZA KUCHANGANYIKIWA NA CORONA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani wanajitambua intelligence yao ipo juu nahisi corona itaweka kambi, na pia tanzania ni mficha maradhi kifo umuumbuahata ungekua ww utabak katika nchi hii ya mficha maradhi??
subirini tutakavyoanza kudondoka kama kuku wa kideli
akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Nimesikia mitaani joto la jiwe linaua kolonavailas.Kwani kwetu huwezi kupata maji ya moto ukaweka kipande cha limau ukanywa au ukala machungwa kwa wingi,sema wenzetu ni wavivu wa kula matunda!!!!
Corona haipo Marekani?? Are serious mkuu? Mpaka sasa wameipiku China kwa visa vingi.
Na kuna vifo zaidi ya 1000 wewe unasema corona haipo Marekani, au ndo wazee wa conspiracy theories.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu unajua hali ikoje? Anyways point yangu ni kumjibu aliyesema "marekani hawatoweza kuleta ndege binafsi kuchukua raia wake"
Jibu lako hili hapo chini toka kwa mkuuIla swali la kujiuliza ni kwamba,kwao kuna maambukizi zaidi,lakini kwanini bado wanataka watu warudi makwao ?
akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Yaani WHO, dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani, acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee, tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii, basi tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue