Marekani Ina wagonjwa karibia elfu tisini na vifo Zaid ya 1300Kuna mijitu inatamani isikie Tanzania inaongoza kwa maambukizi na vifo kwa huu ugonjwa wa mabeberu kwa kweli mtasubiri sana kwa hili.
Wewe umeshaenda kupimwa?Tanzania salama? Watanzania wangapi wamepimwa kubaini kiwango cha maambukizi nchini?
Huu ni uthibitisho tosha kuwa corona Marekani haipo, au uenda kuendelea kubaki Tanzania ni hatari zaidi ya kuwa na ugonjwa huu ukiwa united state of american
akili zingine za kijinga sana. Marekani haisemi kwamba kwao hakuna Corona. Wanachosema watu wao warudi kwao ambako itakuwa rahisi kuwahudumia.
wanaogopa mipaka ikifungwa na hali ikawa mbaya kwao wakiwa Tanzania itakuwa mgumu kuwasaidia.
wakati wa majanga unataka familia yako irudi nyumbani kwako ambako unaweza kuwasaidia.
Hivyo ndivyo nchi zinazojali watu wake hufanya.
Watu wamekuwa wapumbavu kupindukia. mtu kama huyo anaweza sema pia wamarekani hawafi au hakuna kifo marekani.Yaani WHO, dunia inatangaza kila siku halafu anatokea mtu mmoja kutoka Tanzania anakubali Corona haipo Marekani, acheni kusujudia watu kila saa kwenye kila kitu mzee, tuliza akili.
Au taarifa zinazotolewa na Trump mwenyewe kuhusu hali ya Corona nchini mwake huwa hauzisikii, basi tufanye ile siyo Corona bali ni homa ya Dengue
Kumbuka, USA in muunganiko wa States 51, so 1000 linganisha na ukubwa was hizo states na population.
God's grace sijakuwa na sababu ya kupima. Claim Tanzania salama umesema wewe kwa hivyo tunategema unayo scientific evidence .Wewe umeshaenda kupimwa?
Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mijitu inatamani isikie Tanzania inaongoza kwa maambukizi na vifo kwa huu ugonjwa wa mabeberu kwa kweli mtasubiri sana kwa hili.
Sasa nchi kutaka raia wake warudi kwao wakati huu wa janga hili ni upumbavu Boss?Wapumbavu hawa wamarekani
Umewaza!Wazo langu: Kuna gonjwa lingine soon litatimba Tanzania na tutasaga meno hii statement iko very clear kuna kitu kinakuja. So guys be prepared hawa watu sio wazuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani inataka uwazi na ichukuliwe hatua sahihi za kupambana na maambukizi, kama mnadharau na kuhamasishana kujazana kwenye nyumba za ibada, na kutegemea imani kutokomeza ugonjwa baada ya njia za kisayansi. Uhuru wa kupata taarifa na kutoa pia wanadhamini. Kukosekana hayo bora raia wao waende kwenye nchi yenye maambukizi mengi na taarifa zapatikana zao kutosha,.mie nawapongeza!Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umetoa wito kwa raia wake kurejea Marekani, kufuatia uwepo wa maambukizi ya virusi vya #COVID19
Ubalozi umewataka raia wake wote wanaotaka kuondoka kufanya hivyo mapema kutokana na mashirika mengi ya ndege kusitisha safari. Umesema, hadi kufikia Machi 29, 2020 Shirika la Ndege pekee litakalokuwa na ndege za kutoka nje ya Tanzania ni Shirika la Ethiopia
Ubalozi huo umesema kwa sasa haushughuliki na kuwatoa raia hao nje ya Tanzania kuwarudisha Marekani, ila kama hatua hiyo itafikiwa umewataka wale wote watakaotaka kutafutwa na Ubalozi huo kutuma taarifa zao muhimu za utambulisho
Hadi sasa Marekani ambayo ndio nchi yenye maambukizi mengi zaidi, ina jumla ya maambukizi 85,594 yaliyorekodiwa na vifo 1,300
Marekani inataka uwazi na ichukuliwe hatua sahihi za kupambana na maambukizi, kama mnadharau na kuhamasishana kujazana kwenye nyumba za ibada, na kutegemea imani kutokomeza ugonjwa baada ya njia za kisayansi. Uhuru wa kupata taarifa na kutoa pia wanadhamini. Kukosekana hayo bora raia wao waende kwenye nchi yenye maambukizi mengi na taarifa zapatikana zao kutosha,.mie nawapongeza!