Ubalozi wa Marekani kuwaondoa raia wake Tanzania kwasababu ya Corona na kuwarudisha kwao

Hakuna lolote hapo, kama issue ingekuwa serious wangekuwa wanawaondoa wenyewe. Ila hata statement yao wenyewe wanasema hawajafikia huko. Hii ni taarifa ya kawaida kwa kila balozi kwa raia wake.
 
NANI HAPA AJWAI KUUMWA MAFUA,KUKOHOA,HOMA hayo magonjwa tumeshaumwa sana sisi kuanzia utoto mpka ukubwani ni ivyo tu atukujua km ni Corona.. SISI ATUFI KM WAO WANAVYOKUFA INSHORT WATAKUFA WAO TU HATA HAPA HAPA WATAKUFA WAO TU SISI ATUFI AMINI NAKWAMBIA
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu umenena sawa hapo wanajihami tu kwamba tatizo labda likiwa na huku kwetu ni kubwa wao ubalozi tayari waliisha toa tangazo la kuondoka watu wao nchini kurudi kwao sababu ‘airlines flights’ zitakuwa hazifiki tena

Point ni hiyo na labda kingine hawajui je kubaki hapa italipa au kuondoka maana nchi zetu ku ‘handle’ hii issue ni ngumu ikifikia hatua kama yao tuombe Mungu/Mizimu kwamba kinachohisiwa (nadharia) kwamba hali ya hewa na kinga zetu za mwili ziwe imara dhidi ya janga hili
 
Waende tu,ila wakirudi,kwa gharama zao wenyewe they must have to be qurantined for 14 days,before they are allowed to mingle with us again,maana huko kwao kwenyewe kumeoza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sure.
 
Huko kwao kwenyewe ugonjwa unaonekana unasafiri kwa hewa wasitutishe waondoke

Sent using Jamii Forums mobile app

Wamerikani walishajua ugonjwa huu unaenezwa zaidi kwa njia ya kuvuta hewa aliyo jamaa fine droplets za coronavirus - sisi hapa tunakazania zaidi kunawa mikono kwa sabuni na spirit - kitakacho tunusuru kwa uhakika ni lockdown Taifa for three weeks - hakuna njia nyingine ya mkato - narudia kukumbusha kwamba airborne coronavirus ndio ina aambukiza kwa kasi zaidi kuliko vectors za mikono na kukumbatiana.
 
Hata kwao raia wake wanaogopa kwenda!! Ubalozi umefungwa toka Wiki iliyopita baada ya yule Raia wao Ambaye Alitajwa kuja nao na Kuugua ghafla ofsin(Ubalozini)
Hawajakanyaga ofsi hadi leo
 
kwa hiyo kma walishajua nini kimepelekea wao kufikia elf 85 na zaidi kwa sasa na sisi kuendelea kubaki 13, na kenya kuwa 31, yaani huku kwetu hesabu kuwa chini kuliko kwao, wewe unayeiabudu Marekani utwambie...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio kusema kwa Africa wamarekani wapo Tanzania tu?
 
Naked truth huyu jamaa sijui anaficha ficha haya kwa manufaa ya nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…