Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Ni kwamba wanajali sana raia wao au ni uwoga tu umewajaa?Wapumbavu hawa wamarekani
Utafurahi zaidi kitakapokwenda kupiga magogoni na chamwinoKinacho nifurahisha ni kwamba huu ugonjwa umeenda kupiga hadi Pentagon kabisa.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanachofanya ni kuzuia lawama watu wao wakihitaji evacuation, maana imebaki ndege moja tu! Hawataweza kuja kuwafanyia evacuation plan (kuwaletea ndege binafsi) ili iwaondoe, so wanawakumbusha kama ni kuondoka waondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala siyo kuwa hawana, lakini wanavifaa, wataalam, mipango imara na ukwasi mkubwa kupambana na hili gonjwa.
Mungu wabariki Wazungu
Sure.Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Huko kwao kwenyewe ugonjwa unaonekana unasafiri kwa hewa wasitutishe waondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwani 90k siyo zaidi ya 2000?Mbona uko dunia ya kizee sana isiyo na updates? Wagonjwa wanafika 90K sasa5
Wamerikani walishajua ugonjwa huu unaenezwa zaidi kwa njia ya kuvuta hewa aliyo jamaa fine droplets za coronavirus - sisi hapa tunakazania zaidi kunawa mikono kwa sabuni na spirit - kitakacho tunusuru kwa uhakika ni lockdown Taifa for three weeks - hakuna njia nyingine ya mkato - narudia kukumbusha kwamba airborne coronavirus ndio ina aambukiza kwa kasi zaidi kuliko vectors za mikono na kukumbatiana.
Ndio kusema kwa Africa wamarekani wapo Tanzania tu?Wamesisitiza Kabisa kuwa Must return to US now. Na hii wameitangaza leo ila walishaanza kuwalazimisha raia wake waondoke Tanzania. Huu ugonjwa ni hatari halafu imagine uupate ukiwa Tanzania where our medical system is very poor. Hata kama ni mimi nina option ya kuondoka I will surely do so.
Something is not right somewhere.... Only great thinkers can understand.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hivi upstair kwako kuko vizuri kweli?
Marekani ndio inaongoza kwa kuwa na case nyingi sasa hivi.
Nikupe ukweli:
Marekani anaona Serikali yetu haipo serious.
Inadanganya data na hakuna step yoyote inayochukuliwa.
Kwa hio wameshaona kuwa hili dude litakuja kuua watu hapa hadi kila mtu atashangaa
Wazo langu: Kuna gonjwa lingine soon litatimba Tanzania na tutasaga meno hii statement iko very clear kuna kitu kinakuja. So guys be prepared hawa watu sio wazuri kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kubarikiwa wazungu wewe unakondaje dogo ?saa zingine huwa hujitambui, unajiaibisha! Marekani ina wagonjwa elf 85+, kwa hiyo, unajitoa ufahamu au ni sifa tu ilimradi mzungu kaongea?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada nahisi ni mchonganishi,maana Trump alikuwa anaomba summer time iwahi kufika ili corona ipotee huko kwao. Leo hii tena awarudishe kwenye baridi ambayo inaonekana kusaidia corona virus kusurvive.!!!
Acha kuabudu wazungu!Sasa kubarikiwa wazungu wewe unakondaje dogo ?