Ubalozi wa Marekani: Mauaji ya Ali Kibao na vitendo vingine vya kikatili havipaswi kupewa nafasi katika demokrasia

Matamko kama haya hayana tija Kwa wahanga bali ni kuhalalisha kwamba tukio ni la kawaida!
Ukicheki Kwa mtizamo huo...!
Utagundua hata hii comment Yako haiwezi kubadiri chochote, kwamba Bora hata usingepoteza muda kuandika.
 
Kweli serikali ya Samia imekuwa maharamia wabaya sana.
 
Huu ubalozi nao ujitahidi kutoa matamko na huko palestina!
 
Hakuna jipya
 
Hapa kuna "majambazi" fake watakamatwa kama enzi zile za kutekwa Muddy
 
Hawa sio wamarekani tunaowajua. Kuna namna.
 
Siku Gen Z wakiungana na kufanya jambo Lao hapatatosha hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…