Ubalozi wa Marekani: Mauaji ya Ali Kibao na vitendo vingine vya kikatili havipaswi kupewa nafasi katika demokrasia


Wadau wa maendeleo tayari wanatoa matamko, tusubiri nani ataunganishwa katika buku jeusi kuuangana na Paul C Makonda kuwa ni watu wanaotishia haki ya uhai wa watu.
 
Mbona kwao wanauana sana?? Huko haya matukio yana nafasi??
 
That fella is a Great Fool of all times!
 
Wachina wao sera yao hairuhusu kudeal na mambo mengine ya nchi nyingine, wakija kwako wanataka biashara tu mengine utajijua
Ni kweli kabsa wako urusi wanauza silaa lkn hata ukraini akitaka wanamuuzia.
 
Kipanya Masood katika cartoon yake ya leo, amechora mwelekeo wa matendo ya utekaji na mauji ya kikatili yanapoelekeza serikali ya Samia na CCM! Samia anapaswa kurejea pale mwanzo wa utawala wake, alipoahidi hata kama kuna wasi wana CCm watakaoifaa serikali yake yupo radhi kufanya kazi nao.
 
Hii ni vita sisi wan UVCCM tunataja balazi afukuzwe

Hii ni nchi huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…