Kwahiyo kama nyumba ya jirani inateketea kwa moto ukiambiwa linda nyumba yako unaanza kusema mbona yako inaungua? Akili gani hii
Hizo zina jina. Wanaziita "matope".
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kama nyumba ya jirani inateketea kwa moto ukiambiwa linda nyumba yako unaanza kusema mbona yako inaungua? Akili gani hii
Kwani bado kuna wamarekani wapo bongo? Jana kariakoo nimemuona mzungu kavaa mask yuko busy tu anaingia huku anatokea kule nikashangaa huyu mzungu haogopi corona ya Dar alitakiwa ajifungie ndani au awe amekwishaondoka kwao.
Kesho 14-05-2020 kuna ndege ya kukodi EMIRATES inakuja kukomboa wamarekani waliokuwa wamebaki, wanajua idadi ni kubwa ya kutisha, wameamua kukimbia na kuacha kila kitu chao , bora kufia hospitali marekani kuliko mapokezi mwananyamala, maana hapo unaona wanasema hata wagonjwa hawapokelewi, unaachwa ujifie tu na tena wanakwambie kanywe pilipili kichaa na mirungi ndio daawa
Elimu yako ya UPE na maharage yalichanganywa na mafuta ya taa ndiyo yanakufanay uwe hivi, tunakusamehe.
Unawaamini hao ubalozi wa USA? Mbona kwao wanakufa kama Kuku?
Ndio hapo sasa wazungu wenyewe ambao nini kinachoendelea kwao wameona bora wakae bongo kwanza ndio salama ila mbongo anakwambia et bora ukafe na corona ulaya.Huku Zanzibar wapo kibao na walitangaziwa mda wa mwisho wa kuingia ndege Ila wakabana tu , asikwambie mtu bongo kutamu na Kuna matumaini kuliko huko ulaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu yako ya UPE na maharage yalichanganywa na mafuta ya taa ndiyo yanakufanay uwe hivi, tunakusamehe.
USA ni muunganiko wa majimbo 54 na katika hayo kila moja na serikali yake na bunge lake, lakini kuna bunge kuu.
NEW YORK na majimbo machache ndiyo yanaongoza kwa CORONA lakini si kila jimbo, TANZANIA tuna corona nyingi kuliko majimbo mengi ya USA.
Wapo salama na wana hospitali, hapa ukipata korona unawekwa kwenye hema, nje unapigwa na baridi, hakuna chakula, maiti kila uchao zinakupita na unakufa kwa hofu.
Katawadhe siku nyingine kabla ya kujibu threads za kisomi
Mjinga wewe!Tanzania tuna corona nyingi kuliko majimbo ya marekani.
Unawaza kwa kutumia makalio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjinga wewe!
Hujui hata kiswahili, " kuliko majimbo ya Marekani" haimaanishi " kuliko Marekani" ndiyo maana BASHITE anawatawadha wa pilipili kichaa
Ni hapo ambapo wamarekani wanaonesha kweli ni mabeberu. Wanataka tufanye kama wao wakati wanayoyafanya hayajawasaidia kujikomboa na janga. Wanahubiri demokrasia wakati kwao hakuna demokrasia.Utafikiri huko kwao corona haipo kabisa
Naam, nawashwa na ubongo kuona wabunge 6 wa CCM wana korona na hatuambiwi.
Naam, nawashwa na ubongo kuona wabunge 6 wa CCM wana korona na hatuambiwi.
Nawashwa kuona Ndege ya Rwanda inakuja kubeba samaki mwanza na kuacha ndege za tanzania zzikibeba miti shamba na waganga wa jadi kupeleka chato kumfukiza mzee baba.
Nawashwa kuona kibri cha uzima cha mkuu kikimtokea puani baada ya mabeberu kugoma ujenzi wa stigla.
Nawaza sana, wewe vipi? mkeo kakuachia hela ya mboga yakhe?
Siumii ila kwakuwa mimi ni msimamizi wa sheria , nakusikitikia wewe na mbulula wenzako, Nyerere angeangalia maisa yake leo nyie watu wa Tabora bado mngekuwa mnafua chupi ya sultan BaraghashKwani watu wakiambukizwa na wakifa na corona wewe unaumia?.
badala ya kupiga kelele na kurumbana na watu.
Ungefanya mambo ya maana.
angalia maisha yako kwanza ya wenzio achana nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siumii ila kwakuwa mimi ni msimamizi wa sheria , nakusikitikia wewe na mbulula wenzako, Nyerere angeangalia maisa yake leo nyie watu wa Tabora bado mngekuwa mnafua chupi ya sultan Baraghash
Zipo levels nne, yaani kuanzia level-1 hadi level-4, hiyo hapo level-4 ndio nyekundu na ya mwisho, hutolewa kwa nchi ambayo hali ni hovyoo kabisa, na ndio mliyowekewa. Hawajatoa level-4 kwa taifa lingine lolote duniani hata China kule kirusi kilianzia.
Level 4 yaani nyie ni MAREHEMU MNAOTEMBEA, tuna hali mbaya sanakwa hiyo sisi ndo tunahali mbaya zaidi
kwa hiyo sisi ndo tunahali mbaya zaidi