Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania waagiza takwimu za wagonjwa wa korona na chanjo vitolewe

Tutamfikiria ombi lake,😃😃,kwakua ameomba kwa busara...
 
Tuchanjwe wa mwisho. Wakimaliza wooote tukaona haina shida.
 
Kuna comment nyingine ukizisoma ni ngumu kuelewa alichoandika Kama mfupa wa mbwa usivyotafunika aiseeee. Yaani akili za wabongo ni umbea tuu sijui kwa vile wanakesha mabaa.
Ila kuna wanaofurahia hivi vifo sijui wanatarajia nini.

Nakumbuka kuna mwaka kwa ilikuja chanjo ya watt watu hawahawa walikuwa wanasema hiyo chanjo ni ya kuzuia watoto wa Kike kuzaaa. Mbona walichanjwa na wanazaa. Wapenda madaraka acheni kuidhalilisha Tanzania mbele ya dunia.
 
Hatukawii kumuita BEBERU!
 
wa
Walikuwa na Rais kichaka kama yule wa kale ka nchi hakutaka ushauri,hakutaka kulitambua na kulikabiri bomu hadi lilipomlipukia mkononi,adhabu yake unaijua wamemfanya nini. kwa sasa wanaenda vizuri imeanza kushuka baada ya mkaidi kufurushwa,ila sisi ka hela kao tunachukua ila tunakapeleka kwenye mambo mengine COVID 19 hapa kwetu haipo,au tumebadiri msimamo?
 
Kuagiza na kuomba ni vitu viwili tofauti.
Mind sisi hatutawaliwi na mtu yeyote au taifa la nje
 
Viongozi wa Tanzania, wanatakiwa kushirikiana na Dunia. Hata kama unasema una njia zako zinazotibu Covid 19, unatakiwa uishawishi Dunia, na Dunia ithibitishe.

We are acting primitively by not cooperating with globe community.
US na UK walivyo hamia Irak walishirikiana na Dunia na kuna mambo mengi tu , hata vita vya kibiashara na Russia , China na Nchi za Kiafrika , je wana act in a modern way au primitively
 
wanajiepusha na lawama ya mbeleni kwamba kwanini walikuwa wakiona na hawakusema?
Lawama gani sasa? Si watibu watu wao sisi tunawahusu nini...hivi hamjajiongeza tu kua hii ni biashara? Nani anaumwa Corona huku mtaani?
 
Viongozi wa Tanzania, wanatakiwa kushirikiana na Dunia. Hata kama unasema una njia zako zinazotibu Covid 19, unatakiwa uishawishi Dunia, na Dunia ithibitishe.

We are acting primitively by not cooperating with globe community.
Lini Marekani na wenzie waliwahi kuja hapa kutafuta ushirikiano wa kweli zaidi ya kuja kupora? Acheni upuuzi
 
Mkuu kuna watu wana mentality ya uganba wa kienyeji.
Wamekulia hivyo na hata wakisoma hawabadiliki.
Ni imani kuwa dawa za maabara si bora kuliko kule kwa Kalimanzira!

Huyu Balozi ni Daktari, abashangazwa na haielewi tabia hiyo.
Maya zaidi tuna Waziri na Katibu Mkuu ambao ni madaktari lakini wanapuyanga katika tatizo hili utafikiri hawakwenda shule.
 
Lini Marekani na wenzie waliwahi kuja hapa kutafuta ushirikiano wa kweli zaidi ya kuja kupora? Acheni upuuzi
Ujinga nao ni sifa.
Mmesha sahau $700million zilizoingizwa hapa nchini wakati wa Millenium Goals Projects.
 

Hata Kiswahili ni lugha pia, ya nini kujilazimisha kuandika kimalikia?
 

Mtazamo wako kwa wabongo ni wa kipumbavu. By the way Tanzania haijakataa chanjo, tukilazimika kutumia chanjo ni mpaka pale Wizara ya Afya ikijiridhisha kuwa hazina madhara.
Kitu kingine baadhi ya chanjo kuwa na madhara kwa watumiaji sio kitu kipya, kwa hiyo Watanzania kuwa na hofu ndo akili kubwa hiyo, hofu inatoa nafasi ya kupambanua faida au hasara/madhara ya chanjo.
 
Si tulikubaliana kwamba Tanzania itatengwa au imekuaje tena?

"Furthermore, such reporting allows researchers and scientists to better track the disease and prevent unnecessary deaths – both nationally and regionally"
 
Hiyo Phd kuna mtu alipewa bila kukaa darasani na thesis ya kukopi ndio maana anafanya ufutuhi kila kukicha.
 
Dorothy Gwajima acha ujima soma hapa chini 👇 kutoka kwa daktari mwenzio anayejitambua....

I will close this message on a personal note. I am a doctor by profession. Before being named Ambassador to Tanzania, I spent over 30 years working in the public health sector. I can promise you that the public health measures I’ve been speaking about WORK. They will save lives if they are adopted. I urge all Tanzanians to join now in supporting these measures so that we can protect each other and the ones we love.
 
Naona lengo lako ni la kisiasa zaidi kuliko uhalisia! Labda nirudie kukukumbusha kwamba takwimu huru zinaonyesha kwamba contrary na madai ya kubumba ya Serikali ya Merikani ugonjwa wa COVI-19 unaongezeka katika Taifa hilo sio kupungua!!

Majivuno tu, ukweli wa mambo USA imeishiwa mbinu za ku-contain maambukizi nchini mwao, leo hii ndio USA wajifanye Walimu wa kutoa somo kwa Tanzania? Walao somo lingelikuwa limetolewa na Serikali ya Uchina mbona Dunia ingewaelewa maana Uchina peke yake Duniani ndilo Taifa lililo fanikiwa kudhibiti maambukizi yasisambae Nchi nzima,na kupunguza maambukizi mapya nchini mwao kwa kiwango kukubwa.

Kwa kifupi Americans gotta lotta to learn from them Chinese - wasituletee mambo yao ya ukoloni mambo leo wakishirikiana na dalali (WHO) kupigia debe chanjo zinazo zalishwa na Big Pharma Companies ambazo karibu zote ni za huko huko Merikani - wasitufanye wajinga, wakumbuke Mataifa karibu yote Duniani ni Independent wana haki ya kukubali au kutokubali chanjo za Merikani na kutafuta chanjo mbadala ambazo hazitiliwi shaka .

WHO ikumbuke si Serikali ya Dunia yenye mamlaka ya kulazimisha mambo, siku za karibuni wanafanya kazi za udalali wa chanjo zinazo zakishwa na makampuni yanayo fadhiliwa kwa kiwango kikubwa na mfuko wa Bill Gates & Melinda Foundation, badala ya WHO kujihusisha zaidi na masuala ya afya za wakazi Duniani wamekalia kupigia debe chanjo za Bill Gates na mkewe.

Baadhi ya Watanzania na Mataifa yanayo beza beza misimamo wa Dk. Magufuli katika suala hili la COVID-19/21 watakuja kumkumba mambo yakiwaribikia na siku si nyingi kuanzia sasa - Magufuli ni binadamu anaye ona mbali sana - Dunia itakuja kumkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…