Ubalozi wa Marekani nchini umeendelea kuwasisitizia Wananchi wake waliopo nchini kuwa uwezekano wa kupata Corona nchini ni mkubwa

Hahaaaa! Hawa watu bana!

Huko Marekani sasa hivi hakuna cha Corona wala bibi yake Korona.

Sasa hawa watu wa ubalozi wanaleta za kuleta.

Watanzania endeleeni na maisha yenu kama kawaida.

George Floyd kaimaliza hiyo Corona.
 
Nadhani hofu ya wamarekani ni kua mtu akipata corona hapa Tanzania kwa sababu ya huduma za afya zisizo imara anaweza kufa haraka hasa kama ana matatizo mengine ya kiafya, labda.

Marekani huleta karibu 20% ya watalii hapa Tanzania. Kenya huleta karibu 6% ya watalii.

Ila hizi nchi masiniki ni changamoto sana.
 
Hahaaaa! Hawa watu bana!

Huko Marekani sasa hivi hakuna cha Corona wala bibi yake Korona.

Sasa hawa watu wa ubalozi wanaleta za kuleta.

Watanzania endeleeni na maisha yenu kama kawaida.

George Floyd kaimaliza hiyo Corona.
Kwamba wewe ndio utuambie watanzania tuendelee na maisha yetu kama kawaida? Aisee.
 
Influenza,
Ni kweli...kuna outbreak Tanzania ya COVID-19 halafu tunaambiwa na watu wanaotoka Ghamboshi kwamba Covid-19 umekwisha, hatujaambiwa umeishaje? Lakini huku mtaani tunao marafiki wanaougua. TANZANIA IS NOT SAFE, DO NOT COME TO TANZANIA.
 
Huu ni ukweli na wala si siasa! Tena transmission iko very high, maana measures to contain transmission zimekuwa abandoned! Hapa kwetu jana nilikuwa kituko maana the whole bus nilikuwa peke yangu nimevaa mask! Walinicheka actually!
Mkuu Retired ni halali tu kuchekwa kwenye basi, kwasababu umekuwa kituko, maandishi yako tu hapa yanaonyesha kuwa umekuwa kituko.

Tumshukuru Mungu kuwa hali sio mbaya, Mungu amejibu maombi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…