Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kauli yangu si amri. Kauli yangu si sheria.Hoja hapa sio kulazimishwa, hapa hoja ni wewe kutoa hiyo kauli.
Lakini hakuna tabu mkuu.
Ila hawa Wamarekani ni kama wamechanganyikiwa, juzi hapa karibia Taifa lao zima lilikuwa na maandamano dhidi ya ukatili wa mauaji lakini hakuna aliyewaigilia juu ya mkusanyiko mkubwa wa watu tena mbaya zaidi wao ndio wanakesi nyingi dhidi ya COVID 19. Yani walivyo washenzi wanaangalia ya watu wakati kwao hali ni Tete kutokana na maandamano wamepata kesi elfu 19.
Sawa nitajitahidi kujilinda
Embu watuache wenyewe. Wafanye yao.
Wewe si ni CCM nami sishangai kuandika hivyo. Kwahiyo Mungu ana upendeleo. Nilitegemea ulete scientific arguments kumbe unaleta talalila za Ndugai! Na most likely waliokuwa kwenye bus ni CCM! wanasikliza Jiwe anasema nini . sensible people like CDM will never do that!Mkuu Retired ni halali tu kuchekwa kwenye basi, kwasababu umekuwa kituko, maandishi yako tu hapa yanaonyesha kuwa umekuwa kituko.
Tumshukuru Mungu kuwa hali sio mbaya, Mungu amejibu maombi yetu.
Una hakika kuwa hawatoi takwimu?Wao wameshinda barabarani tunaelekea week mbili sasa hakuna takwimu za korona ..hovyo sana
Hawawezi kuwa na chanzo cha uhakika kumzidi mwenye nyumbaHao wanajua wakisemacho wanna vyanzo vya uhakika vya taarifa.
Hizi ni takwimu za leoWao wameshinda barabarani tunaelekea week mbili sasa hakuna takwimu za korona ..hovyo sana
Watu wanakufa kwa wingi kimyakimya ili kuonyesha rais amefanikiwaMkuu Retired ni halali tu kuchekwa kwenye basi, kwasababu umekuwa kituko, maandishi yako tu hapa yanaonyesha kuwa umekuwa kituko.
Tumshukuru Mungu kuwa hali sio mbaya, Mungu amejibu maombi yetu.
ULE MSAFARA WA VIONGOZI WA SERIKALI YETU KWENDA UBALOZINI ULIKUWA NA UJUMBE GANI KWA HUU UBALOZI? HUO UJUMBE ULIELEWEKA? KWANI TAKWIMU ZA CORONA NCHINI ZIKOJE? HUU UBALOZI UNA HOJA KWELIKWELIUkweli ni kwamba hao watu wao hawataki kurudi huko kwao maana toka walipoanza kuwaambia warudi si ingekuwa washarudi, waje wawasombe kilazima wawapeleke wakaandamane huko.
Kwamba Tz hospitali zimejaa wagonjwa wa corona hadi zimezidiwa ndio unasema watu hao wana vyanzo vya uhakika?Hao wanajua wakisemacho wanna vyanzo vya uhakika vya taarifa.
Solution ni kwamba waje wawasombe tu na kuwarudisha huko paliko salama wakakusanyane ili kuongeze nguvu ya maandamano.ULE MSAFARA WA VIONGOZI WA SERIKALI YETU KWENDA UBALOZINI ULIKUWA NA UJUMBE GANI KWA HUU UBALOZI? HUO UJUMBE ULIELEWEKA? KWANI TAKWIMU ZA CORONA NCHINI ZIKOJE? HUU UBALOZI UNA HOJA KWELIKWELI
Wewe ngabu mbeba mabox maarufu na wewe unawakandia mabosi wako? au na wewe walishakuwekea goti shingoni...Hahaaaa! Hawa watu bana!
Huko Marekani sasa hivi hakuna cha Corona wala bibi yake Korona.
Sasa hawa watu wa ubalozi wanaleta za kuleta.
Watanzania endeleeni na maisha yenu kama kawaida.
George Floyd kaimaliza hiyo Corona.