Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho.

Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za usoni lakini kesho watapokelewa Wageni wenye dharura pekee.

“Kwa sababu ya hali ya sasa ya intaneti nchini, miadi yote ya kibalozi ya kesho imeahirishwa, tutapanga upya katika tarehe inayofuata, kesho Ubalozi utakuwa wazi kwa huduma za dharura peke yake” ——— Ubalozi.

1715595555633.png

Pia soma=> Gerson Msigwa: Tozo kwenye Miamala ya kutoa pesa bado ipo
 
Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania umesema Leo hautapokea Wageni iwe una miadi ama la kutokana na Changamoto ya Intaneti

===
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho.

Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe inayofuata lakini kesho watapokelewa Wageni wenye dharura pekee.

“Kwa sababu ya hali ya sasa ya intaneti nchini, miadi yote ya kibalozi ya kesho ( Jumatatu May 13 2024) imeahirishwa, tutapanga upya katika tarehe inayofuata, kesho Ubalozi utakuwa wazi kwa huduma za dharura peke yake” ——— Ubalozi.

1715584577572.png
 
Back
Top Bottom