Pre GE2025 Ubalozi wa Marekani: Tumeshtushwa na taarifa za kuaminika kwamba polisi walitumia nguvu kupita kiasi kuwadhibiti CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Serikali ya Tanzania nayo itoe tamko juu ya shambulio la mgombea wa chama Cha Republic- ndugu D.Trump,unyama -unyama
Ndiyo tunakubali iwe hivyo.Swali la msingi je Trump alishambuliwa na Jeshi la Polisi la Marekani au ni kibaka mvuta bangi rafiki yake na Trump?
 
🚮
 
Wewe kwa akili yako unafikiri huyo Balozi wa US atafanyanini? Slavery mentality inakusumbua. Badala ya kuwategemea watz unawaza kuwategemea mabeberu unafikiri watawasaidia kuchukua nchi au?!
Usiseme balozi sema kwani US inaweza kufanya nini? Na kama hujui inaweza kufanya nini basi tune Cartoon Network uangalie huku tuachie baba zako.
 
Wamarekani ni wanafik tu, hawana zaidi ya unafik.
 
Jana walitoa upuuzi....leo amgalau wamenyoosh maelezo
 
Tuna majambazi madarakani
Vitendo vya majeshi yetu vinaashiria kuwa nchi haipo sawa na tunatawaliwa na wauaji
 
Wamepigwa kwa sababu ya utukutu wao. Unamjua Sugu wewe!? Anausugu sana lazima apate kipondo cha nguvu.
Mbona hawajafunguliwa kesi? Na taratibu gani ya kiesheria inasema umoige mtu anae jisalimisha bila resistance?
 
CHADEMA wamefanya siasa leo kiukweli. Wamepata kiki kusema ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…